Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyie haya mambo yenu ya kuiga na kujitutumua nje ya uwezo wenu kwaajili ya sifa za kijinga ndio anguko lenu. Wauguzi wanaplan kugoma due to kutolipwa mishahara.

Mbwana samantha
Fenerbahçe£2,740,000/year£52,684/week
Based on AiScore wage data for 2022–23 season
Hivi kuna mkenya aliwahi lipwa hata 40,000 usd per week
 
Picha mliona ni za 1hr before game time. Kasarani was full to the brim. Yenu hata haikufika😂😂🤣

Sawa kwa takwimu hizo basi tuseme DRC imepata Ushindi WA 2-1. Are you happy now?😂😂🤣🤣
Ndio maana nasema wewe hujui mpira.
Nikuache na ujinga wako.

Tumeona bana wewe mechi imeshaanza viti vipo vilivyo wazi.
 
Kila kitu Tanzania kipo arranged. Huko Kenya sasa. Niliona kwenye uwanja wa sakafu ya cement wasichana wakideki kwa kutumia mifagio na nguo zimechakaa kweli.

CHECK TANZANIA​


From the grand arrivals to the warm embrace of Tanzanian hospitality, today marks a historic beginning for CHAN 2024 and The Royal Hosts we're honored to be at the heart of it





 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…