Endelea kufuatilia tweets za Opposition bloggers.Endelea kupost picha za upande mmoja πππ
View: https://x.com/zollz/status/1951992784711475657?s=46
Eti hapa ndo fainali ifanyike duuu.daaah ile hela ya renovation yote imeenda bure hvi kenya inalaana ganππ
uhhahahahha kwenu ziko ngap so far??πOnly two nchi nzima, sasa kama ziko mbili, of course my chances kujua is very limited.
Nyinyi mlishashindwa kujaza Stadiumhaya kiko wapi πππ yani watu wanatumia kodi za nchi kuonesha upuuzi
View: https://x.com/ntvkenya/status/1951945996625379507?s=46
Zaidi ya kumi.uhhahahahha kwenu ziko ngap so far??π
nilishawah kwambia tanzania ndio sehemu utakutana na gari za kifahari za kila aina yani huku sio lazma uwe politician ndio uwe na pesa
Game ya Morocco vs Angola saa ngapi?haya kiko wapi πππ yani watu wanatumia kodi za nchi kuonesha upuuzi
View: https://x.com/ntvkenya/status/1951945996625379507?s=46
Huwa unanifurahisha vile unakuwanga na selective criticism. Yani muda huu huu Wabongo wanatucheka sisi Wakenya kisa wanadhani hatujajaza stadium wakati tunawatupia picha halisia ya uwanja ulivojaa ila wewe kwa mihemko yako unalialia eti tunawacheka. You're the biggest whiner on this forum.Tatizo la hawa mbuzi wanajiona kama wako level fulani ya juu kumbe ni wale wale wa dunia ya tatu. Dunia ya tatu hatuchekani matatizo yetu ni yale yale. Eti unacheka Tz kutojaza uwanja wa 60k kwamba raia wao masikini.
Hii ni zaidj ya umaskini. Ni utamaduni wa watu. Sisi sio kama Waingereza au Wajerumani qmbao soka ni zaidi ya dini kwao. At least Simba na Yanga kidogo tunaweza kujaza 60k stadium.
Ndio maana hata humu tulisema kujenga uwanja capacity zaidi ya 30k nje ya Dar ni kupoteza hela.
Kenyans love football, na ndio kwa maana finals ziliwekwa Nairobi. Kama high school games zinajaa hivi. Bongoslum wanajua tu Simba na Yanga.Nyinyi mlishashindwa kujaza Stadium
View: https://x.com/Princewangui/status/1952003371537408444?t=CsZmF7BQKQsW4WL1hzxnGg&s=19
sio joho wala omanga wala sudi, yani kenya huwez kua tajiri kama hauko kwenye mnyororo wa politics never everZaidi ya kumi.
Punguza kuropokwa, sasa ju Joho, Omanga and a few ni politicians wanapenda magari za kifahari inakua ni wakenya wote ni politicians.
Ebu tuambie nani politician hapa.
View: https://www.instagram.com/reel/DMyAnDGIAsx/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==