Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,276
- 4,557
Apo vibaka na wanyang'anyi kibao kibera nzima ipo hapo ukizubaa umeliaMambo ya kutojaza Stadium tumeachia watanzania. 2 more hours to go and already Kasarani ishaanza kujaza.
View attachment 3429469View attachment 3429470
Hahaa umeona sasa aibu mnayoenda kutupwa, hiyo ni introTanzanians this is how you attend football matches.
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1951956547224961213?t=s3ZUu39yv7P7fbepITG2YQ&s=19
Unasifia bibi kizee aliepakwa poda? Kisarani bado ni uwanja wa kizamani kamwe usifananishe na uwanja wa kisasa alafu kwa sasa uwo uwanja uwekwa viti so capasity imepungua now unaingiza chini ya watu 55k ilikuwa 60k ilipokuwa haina seat watu wanakalia zege 😂😂Makwapa haifikii Kasarani hata kidogo when it comes to beauty.
View: https://x.com/Terry254_/status/1951945428825419926?t=PQiWvpP1TGHXfAIjoAEQ9A&s=19
Hapa mmeziba kitu gani?Mambo ya kutojaza Stadium tumeachia watanzania. 2 more hours to go and already Kasarani ishaanza kujaza.
View attachment 3429469View attachment 3429470
Hii niliiona huko x ila nikala kimya tu
Halafu hapo chini seats zimekaa kama za kwenye hall,na viti vipo chini mno 😂,jua kali stadiumHapa mmeziba kitu gani?
View attachment 3429493
Yapo mengi tu, huwa tunapiga kimya. But hawa watu hali yao ni mbaya kuliko ubaya wenyewe.Hii niliiona huko x ila nikala kimya tu
Such an impudent N-card sio brand name. Embu tuwaletee hata google iwafundishe.N-card is a brand name you idiot.
Embu soma utofauti hapo wewe mbung'o.N-card is a brand name you idiot.
Onesha slums hapo si mlisema Kuna slums!?Barabara mbovu.
Nguruwe pori wewe nimekuwekea utofauti wa N-card na ATM card.Mimi sinanga hiyo patience. Nitampiga tu za uso.😂
Watu wanafagia na fagio za chelewa. Hii CHAN ita expose vitu vingi sana ndugu zetu. AFCON hawawezi hostGuys hebu angalieni ndani ya vyumba vya uwanja wa Kasarani ni vituko
View: https://youtu.be/JVJArStyBVk?si=C8EzTJqt9eKg1Qwv
Hatuwezi host ju ya vifagio? 🤣. Watanzania kwa domo domoWatu wanafagia na fagio za chelewa. Hii CHAN ita expose vitu vingi sana ndugu zetu. AFCON hawawezi host