Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wawafukuze tuone? Eti utazuia malori yasiingie Kenya sawa . Wataagiza mbao kutoka Dubai🤣🤣🤣🤣.
Hatukubabaishwa na south Africa ije Kenya
Sisi hata Marekani kabla hajakoroma huwa anasikiizia upepo.

Tulidinda na WEST enzi za NAM, ndio tubabaike na kinchi kama Kenya.

Tulivunja mahusinao na Israel, tuakitambua Palestine na West Sahara ndio tubabaike na Kenya.

Kenya hata Visa tu, Wamarekani hawalipi, kwa Tanzania wanalipa $100 na hakuna kitu wanafanya.

Juzi tu hapa Ruto alienda China, akaanza kupigwa mikwara na Marekani, wakati Tanzania hakuna mhuni anasema kitu.

Anayetaka aje asiyetaka basi.
 
Alafu kuna coodip1 anaita tuwafanyie ubig brother. Mwamba pitia comment huko.

Nyang'au sio watu toka enzi za ukoloni.
 
Wewe kweli ni mjinga, who told you lazima ikuwe na passport ndio uingie Kenya? Mambo ya East Africa free movement hujui? Oooh pole, nilikuwa nasahau wewe ni myemen na hujui what happens in East Africa.
mpumbavu wewe unanifanya mm mgeni wa kuja kenya au? bila passport au temporary passport unaeza ingia kenya au uganda ??? lini ushawah toka nje ya ushago hapo???😂😂😂😂 wewe na ng'ombe tofaut yenu ni nn ?
 
You are a Yemeni refugee, lazima ukuwe na passport ndio ukubaliwe kuingia Kenya. Ungekuwa Mtanzania ungeingia Tu bila wasiwasi.
 
Wanasema Kenya pekee ndio wanalalamika. The truth is, wanafuatilia kinachoendelea Kenya pekee.
Waganda hawa

I don't see other countries National Tv na almost nchi nzima kujazana kupiga ukunga kama Nyie Kunyans.

Yaani hata ziara ya Rais wa Uganda haijulikani, habari nzima ya Nchi ni kuzuiwa umachinga.
 
I don't see other countries National Tv na almost nchi nzima kujazana kupiga ukunga kama Nyie Kunyans.

Yaani hata ziara ya Rais wa Uganda haijulikani, habari nzima ya Nchi ni kuzuiwa umachinga.
Because you don't follow them they way you do with Kenya. Mngekuwa mnafuatilia mambo ya masomo pia hivo watanzania wangekula mbali Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…