Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Those are slums ata kipofu aezi danganywa...mnajenga tower katikati ya slum..nikama britam ikiwa katikati ya kibera
 
Wacha ukuma umepewa list tunataka list pia..ukishindwa unaanza ujinga
We mbuzi wa tambiko,hili jukwaa sio la mapovu ya kipindupindu,ni fact juu ya fact.huna fact kavue chup yako ufue hatutaki kelele.

Umeambiwa weka jina la jengo na picha yake likiwa limeisha unarukaruka tu kama inzi ya chooni huwezi omba msaada usaidiwe sisi tunaweza kukupa msaana.
 
huyo kashalewa anaongea nonsenseπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hawa tz bure 2. Wanaringa na 1200 millionaire sisi nai tuna 6200
Huwa nikiwafikiria wakenya na akili zao zilivyo ndogo, huwa ninachanganyikiwa kabisa, hivi kweli mtu mwenye akili timamu anaweza kujisifia kuwa na millionea 1000, wakati ndugu zake millioni 4 wanakufa kwa njaa?.

Wakenya mna matatizo mengi sana ya msingi nchini kwenu, millions of your people live in slums without water and sanitations, millions more are jobless, hivi kweli bila aibu mnajisifia utajiri wa watu 8300 ambao wameshikilia 62% of your GDP, really?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…