chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,742
- 46,084
I see inaonekana alikua na Motive huyo Mzungu aka MzungukoKumbuka Leopard tours wana the largest tourvans fleet in the whole of Africa!
View: https://www.instagram.com/reel/DMF51JANHiz/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=OHU4bzJucnQ2bTQ4
Dah! 😂Kuna demu black American alikuwa analia lia kwanini Tanzania hairuhusu uraia pacha, kwanini sheria za Tanzania mgeni ukianzisha kampuni lazima shareholder awe Mtanzania. 😂😂😂
Anamilika maelfu ya mashamba Kunyaland.
Oh!! Kumbe. Tutaanzia kufungua kisha tutaenda kwenye CHAN yote tutayafanya siku mojaHii tarehe sio ndio tarehe CHAN inafanya ufunguzi pia?
Wakundustan kwenye comments wenyewe wanashangaa watanzania wasivyo na ufukara kama wao.
View: https://vm.tiktok.com/ZMScYk4nJ/
Kuna hii Sheria inawaumua sana wageniKuna demu black American alikuwa analia lia kwanini Tanzania hairuhusu uraia pacha, kwanini sheria za Tanzania mgeni ukianzisha kampuni lazima shareholder awe Mtanzania. 😂😂😂
Anamilika maelfu ya mahekari ya mashamba Kunyaland.
Nahisi kwa Yale ya locomotive mabehewa hayatoshi maana yalikuwa 59 hapo Kuna mpaka lile la rais na lile la escort ya mizigo kwenye treni ya mizigo.Dah! Wanangu for first time mambo ya government yalinigusa kunako moyoni.
Nilikua na dharura Morogoro majuzi SGR hamna tiketi kabisa 2 days ahead, damn.
Niliishia kutumia siku nzima Barabarani Kisa malori tele.
Hakuna namna kweli waongeze vichwa vya treni maana hali si poa, 2 days ahead dah hata hiyo siku ya 3 unakuta ile mida strategic ipo booked wanakuachia mida tight.
Fikiria hata leo kutoka Dodoma mpaka kesho zimejaaDah! Wanangu for first time mambo ya government yalinigusa kunako moyoni.
Nilikua na dharura Morogoro majuzi SGR hamna tiketi kabisa 2 days ahead, damn.
Niliishia kutumia siku nzima Barabarani Kisa malori tele.
Hakuna namna kweli waongeze vichwa vya treni maana hali si poa, 2 days ahead dah hata hiyo siku ya 3 unakuta ile mida strategic ipo booked wanakuachia mida tight.
We need to expand Morogoro road. Sijui kwa nini wanasitasitaDah! Wanangu for first time mambo ya government yalinigusa kunako moyoni.
Nilikua na dharura Morogoro majuzi SGR hamna tiketi kabisa 2 days ahead, damn.
Niliishia kutumia siku nzima Barabarani Kisa malori tele.
Hakuna namna kweli waongeze vichwa vya treni maana hali si poa, 2 days ahead dah hata hiyo siku ya 3 unakuta ile mida strategic ipo booked wanakuachia mida tight.
Kuna project ya PPP inapita hapo, toll road.We need to expand Morogoro road. Sijui kwa nini wanasitasita
Suala sio kongeza vichwa sasa bali ni passing loops au iwe double truck maana abiria ni wengi kuliko walivyotarajiaDah! Wanangu for first time mambo ya government yalinigusa kunako moyoni.
Nilikua na dharura Morogoro majuzi SGR hamna tiketi kabisa 2 days ahead, damn.
Niliishia kutumia siku nzima Barabarani Kisa malori tele.
Hakuna namna kweli waongeze vichwa vya treni maana hali si poa, 2 days ahead dah hata hiyo siku ya 3 unakuta ile mida strategic ipo booked wanakuachia mida tight.
Bado hata haijatumika ipasavyo kuongeza loops Tena wakati hata hii kuna interval ya masaa zaid ya matatu kwa treni kupitaSuala sio kongeza vichwa sasa bali ni passing loops au iwe double truck maana abiria ni wengi kuliko walivyotarajia
Angalia yale majengo nyuma kuleeHivi naislum wote ni machokoraa na omba omba? Eti ndio watu waosema wana purchasing power kubwa 😂😂😂
View: https://youtu.be/3WaOPTSVoAw?si=LLNtWNCjo2obs3wm
Wakundustan kwenye comments wenyewe wanashangaa watanzania wasivyo na ufukara kama wao.
View: https://vm.tiktok.com/ZMScYk4nJ/