Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,285
- 35,772
Story za abunuasi na omba omba wa kiatu kimoja 🤣🤣🤣🤣🤣
Mwambie NairobiWalker alikua Benjamin Mkapa, hakuona hizo Uswazi?I wish one of CHAN players peep through the window and take a selfie of Uswaziland prior to landing at Mabati Rolling mills airport…I would buy the photo…🤣🤣🤣🤣🤣🤣… ( ni uchokozi tu)..
Investing 98% in Nairobi, and this how it looks like😅😅😅Eti welcome to the New York of Africa then ended up in mud trenches and trash shacks, wakenya exposure ni problem
View: https://youtu.be/NtMaIjE4x-k?si=MsnQa0PcXgXOibam
Wanaishi vipi?Nini cha ajabu hapa ?… it’s more about other things than houses themselves. Na zile nimeona are close to each other like Ujamaa village na sio shamba . Wakenya wakulima wenye pesa hawawezi kuishi hivo ..
VuruguHivi naislum wote ni machokoraa na omba omba? Eti ndio watu waosema wana purchasing power kubwa 😂😂😂
View: https://youtu.be/3WaOPTSVoAw?si=LLNtWNCjo2obs3wm
Imagine government expenditures yao 80 percent inaishia hapo na situation ndio kama hiyo 😂😂😂Investing 98% in Nairobi, and this how it looks like😅😅😅
Watu wazima wanapigania ice cream na machokoraa 😂😂😂Vurugu
Malizia kwamba Iko kijijini kabisa huko na ATI sio mjiniNairobi haina bus terminl kama hii!
View: https://www.instagram.com/p/DMkjzRqNUjM/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=eXY5dDRtOXo1YXp0
Hii tarehe sio ndio tarehe CHAN inafanya ufunguzi pia?
Haiwezekani kumfungulia mashtaka. Maana hawa ******* sometimes wanatuzoea Tz.Niliwambieni yule mzungu koko kutoka Ukunduni ni wivu!
View: https://www.instagram.com/p/DMko1YYNlYI/?utm_source=ig_web_copy_link
Kumbuka Leopard tours wana the largest tourvans fleet in the whole of Africa!Haiwezekani kumfungulia mashtaka. Maana hawa ******* sometimes wanatuzoea Tz.
Kuna demu black American alikuwa analia lia kwanini Tanzania hairuhusu uraia pacha, kwanini sheria za Tanzania mgeni ukianzisha kampuni lazima shareholder awe Mtanzania. 😂😂😂Haiwezekani kumfungulia mashtaka. Maana hawa ******* sometimes wanatuzoea Tz.