Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maku nitolee ubwege wako wa kuitaja america kwenye kila comment yako pambavu,last time I checked TZ ndio ilikua inaongoza kuwaletea remmitance huko ukunyan,hapa TZ kuna kunyan hadi walima mchicha
I know you hate America coz you got deported. But its where I live and I will continue to use it as an example if the narrative fits . Hata wenzako hapa do the same on a daily basis na hupayuki . Wacha selective outrage…🤣🤣
 
Umesema ni za wakulima wa avocado sio Kumbe nyumba za kupangishwa zilizo Nairobi siku hizi ni nyumba za wakulima wa walliopo kilifi
 
I call you on ur bs .And if you see a Kenyan working in a hotel or bar outside of management, means a Kenyan own that business just like those Kenya Railway shirts printed in TZ by a Kenyan owned company 😜
🤣🤣🤣🤣🤣. Utachekwa ndugu kazi za hotel watanzania wengi wanazidharau ,

Kwahiyo wakulima siku hizi wanakaa Nairobi . Kumbe Nairobi kuna Mashamba ya avocado🤣🤣🤣🤣

Acha kuokota picha za mitandaoni kujifurahisha
 
I know you hate America coz you got deported. But its where I live and I will continue to use it as an example if the narrative fits . Hata wenzako hapa do the same on a daily basis na hupayuki . Wacha selective outrage…🤣🤣

Babu jinga nikuambie tu mimi america hata kesho nikitaka kuja nakuja,nina familia huko tena sio za kuunga unga uamerika wa green card,nilipokua huko nilikua naendesha van za cousin yangu na anamiliki trucks zaidi ya 10,hapo TZ babu yangu alishashika nyadhifa za namba 2,namba 3 na nyadhifa kibao,sema ndio wale wazee wa zamani awakua wezi serikali,ila walisambaza familia zao europe na america,fani yangu welder na aluminum window specialist,welder nimesomea sweden,kampuni ninayofanya inapiga kazi europe so america kwann mimi,hii july nilikua malta kwa siku 5 now nipo kwa neta hapa tunarekebisha majengo,mwezi na nusu nitakua hapa maku ww,na kila miezi 4 naenda bongo mimi sio mshamba wa america maku ww
 
Ebu leta nyumba za kilifi huko kwa wakulima buana🤣🤣🤣🤣
I have a big farm Nanyuki so you can count me as a farmer ( kind of) . So when I post my finished project ya nyumba , utaanguka tu ..😜… it’s Baking kimya kimya .. ( Thanks to this forum for teaching me those 2 words)
 
Story za abunuasi na omba omba wa kiatu kimoja 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Toka hapo Kajiando uzunguke Tanzania mdogo wangu. Pitia hii video halafu ukimaliza kuitazama jiite kuwa wewe ni mwehu


View: https://youtu.be/usawus9p-cI?si=_bchM8yd8I8cr7RE
 
I have a big farm Nanyuki so you can count me as a farmer ( kind of) . So when I post my finished project ya nyumba , utaanguka tu ..😜… it’s Baking kimya kimya .. ( Thanks to this forum for teaching me those 2 words)
Huwa sisi hatuna tabia ya showoff anyway acha kuokota picha kwa mitandao unajiabisha
Hapa ilikuwa nii wakulima Mimi nimekuletea mfano wa Kijiji Cha wakulima wanaolima migomba na kadhalika na mixture ya wengine acha kuokota picha leta picha ya Kijiji kama hicho. Video
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…