Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

There is nothing special hapa. Ukiweka Kasarani na Makwapa in one sentence I assure you nobody will pick Makwapa over Kasarani.
 
Serikali aishindwi kupunguza matumizi ya V8 na safari za watumishi wa nje ya nchi,ili ijenge interchange jangwani,design ya daraja kama lile huwezi kulikuta kwenye nchi za wenzetu dunia hii ya leo lipo sehemu kama ile,madaraja yale yapo nje ya mji huko,aipendezi city center ukatengeneza daraja kama la mto wami
 
Hivi hakuna render ya hii project, maana tunaona picha tu
 
Walikuwa wanamuiga tembo hao. Pia tunaweza sema ni "another indicator of fake GDP".

Niliwapa challenge ndugu zetu hawa, Wakenya, watuoneshe nchi yenye GDP chini ya $250 inayofanya, tunayofanya, mpaka sasa kimya.
NairobiWalker nairobae
Uhalisia wa GDP ungeonekana kwenye mambo kama haya, pia hii ni udhibitisho IMF wana mfumo tofauti na tunavyoamini wa kupanga madaraja ya uchumi kwa nchi duniani, zipo weird hidden factors nyuma ya pazia.
 
Hivi unafahamu bajeti ya elimu ya kenya ni mara mbili ya Tanzania?
Bajeti hata wewe unaweza kujiamulia wiki ijayo utatumia million 200 lakini haimaanishi mapato yako yatakua hivyo, hiyo ni mipango tu, serikali yenu inajua wengi ufahamu wenu finyu mkisomewa budget bungeni mnafikiri ndio revenues ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ halafu big number doesn't matter hata ule mtambo wenu wa gongo ulikua na budget mara 3 ya bullet train yetu, Talanta 60k ina budget 20 times ya mkapa 62k
 
Lipieni watoto wasome bure kwanza, ndo tuone umuhimu wa bajeti. Mnapoteza vipaji bila kujua.
Nyinyi ni bongolala, you only disburse 25000tsh per student yearly which is around 1000ksh

Compare this with the what kenya disburse to secondary schools per student


Thats around 450k Tanzania shillings
Basically, kenya disburse more than 20times more than Tanzania
 
Hivi wewe ni zuzu au ni mpumbavu.? Kuna elimu ya kugharamia 25k a year.? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ. Au ume google tu ukaona ulete hapa..?
 
Hivi wewe ni zuzu au ni mpumbavu.? Kuna elimu ya kugharamia 25k a year.? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ. Au ume google tu ukaona ulete hapa..?
Nikiwaambia humu tunabishana na machizi tusiwachukulie sana serious,mnaniona mtata ๐Ÿ˜ƒ,ona sasa huyo zwazwa mwathadan alichopost ๐Ÿ˜ƒ
 
Delayed and incomplete disbursement.
Hii inaonesha mnaandika bajeti kubwa ambayo ni nje na uhitaji pia ambayo hamuwezi kui manage.
Ufisadi na ujinga juu.
 
Hivi wewe ni zuzu au ni mpumbavu.? Kuna elimu ya kugharamia 25k a year.? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ. Au ume google tu ukaona ulete hapa..?
Na hapo kajichoma mwenyewe,inaonekana Kenya wanaandika wasichoweza kutimiza,"delayed and incomplete disbursement" hii inaashiria hizo pesa kiuhalisia hakuna.
 
Hii income ya passengers service Kenya ni kituko . Tz we are far ahead ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ