Twende na wakati. 🤣 🤣Matatu ni dala dala tulishatoka huko tupo mwendo kasi, jitahidi twende na wakati 😁
Nchi ya 400 billion GDP inageuza construction site soko la hawkers. 🤣 🤣 🤣Hiyo ni kawaida kwa sehemu za mizunguko ya biashara huria kama hizo kama mradi haujakamilika watu huketi na kufanya biashara zao.
Ila haimaanishi kuwa watafanya milele maana hapo bado ujenzi unaendelea.
Picha ya 2007Twende na wakati. 🤣 🤣
Kazi kwa Vijana … unfortunately it is what it is. i am sure vijana wa Tandale would love this kind of arrangement.. on a brighter side, this man was able to feed his family through this gig .Hawa watu ni makatunist sanaa, oneni rangi inavyopigwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3416939
Picha ya 2007 niliipiga mimi
Acha ujinga huko USA kwangu ni kama chooni tuu.How do you know Charlottesville is better?.. umefika huko ama ni maoni yako tu …😁😁
Let me enlighten you …. Raleigh, Chapel Hill and Durham tri city area is the silicon valley of the East Coast of the US . So it binds well with Nairobi’s Silicon savanna aspects. Now you know
Are you teaching me the geography of NC or you intended it for the forum consumption?How do you know Charlottesville is better?.. umefika huko ama ni maoni yako tu …😁😁
Let me enlighten you …. Raleigh, Chapel Hill and Durham tri city area is the silicon valley of the East Coast of the US . So it binds well with Nairobi’s Silicon savanna aspects. Now you know
Na bado kapewa contract ya kujaza CNG kwenye buses za BRT.
Based on what you posted , you have limited knowledge of North Carolina except what you google . It shows. Some details require first hand experience.Are you teaching me the geography of NC or you intended it for the forum consumption?
What's the difference here?Twende na wakati. 🤣 🤣
Thubutu huyo anaropoka tuu. kampuni ya wahuni ile atawaweza wapi? ukiwa umesoma Cuba utanielewa bila shida 😁LAKE OIL AMESHINDA TENDA YA KU SUPPLY GAS (CNG) KWENYE MABASI YA BRT
Sikiliza hapa mpaka mwisho
View: https://youtu.be/e_KN_2vO-sw?si=RFJhIveM-XUQPWMC
Do you mind posting your choo so we can do some comparative studies with the US ?..😄😄😄Acha ujinga huko USA kwangu ni kama chooni tuu.
Acha ujinga wewe I spent years hapo Research Triangle Park UNC, Duke na hata MA HSPH Boston huko hunipotezi ni vitu vidogo sana kwangu umesikia wewe dereva sijui utingo?Based on what you posted , you have limited knowledge of North Carolina except what you google . It shows. Some details require first hand experience.
FungukaThubutu huyo anaropoka tuu. kampuni ya wahuni ile atawaweza wapi? ukiwa umesoma Cuba utanielewa bila shida 😁