President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,605
- 94,186
Kaka kazi ya kujenga ma godown siyo ya TRC. Na pesa za TRC siyo kwaajili ya kujenga hayo magodown ipo na majukumu yake kaka. Elewa mfumo wa mashirika. Kama kujenga hayo magodown atajenga TPA au DP world yupo na MoU ya ujenzi wa hizo storage na siyo TRC.Godown linahitaji pellets tu kwa ajili ya mazao yasiguse chini na haya ya mazao yanahitaji mzani wa magari ambao si chini ya million 50 .
Ila magodown kwa ajili ya sgr hayahitaji vyote hivyo sanasana kinachohitajika ni hall tu maana mzigo unapimwa kwa behewa pale ihumwa na kwala( kuna mzani unaopima Kila behewa)
Huo ni mfano sijamaanisha tutegemee mzigo wa dangote tu . Bali hiyo ni sample kuwa tunaweza pata mzigo wa viwanda vya ndani kuliko tunavyofikiri hata AzamSasa TRC wategemee mzigo wa dangote tu wakati Uzalishaji wa Twiga Cement 5,479 tonnes per day. Yeye alete mzigo wake utabebwa lakini siyo mwenye mzigo mkubwa.
Kaka ndiyo maana SGR imejengwa. Lengo kubwa ni kusafirisha mizigo. Kusafirisha abiria ni Service. Na hiyo mizigo unayoitaja haiwezi kuingizia pesa kubwa TRC. Mizigo inayoweza kuingiza pesa nyingi ni ile ya madiniHuo ni mfano sijamaanisha tutegemee mzigo wa dangote tu . Bali hiyo ni sample kuwa tunaweza pata mzigo wa viwanda vya ndani kuliko tunavyofikiri hata Azam
Ushafanya kazi kwenye shirika lolote la serikali au unaongea tu?Kaka kazi ya kujenga ma godown siyo ya TRC. Na pesa za TRC siyo kwaajili ya kujenga hayo magodown ipo na majukumu yake kaka. Elewa mfumo wa mashirika. Kama kujenga hayo magodown atajenga TPA au DP world yupo na MoU ya ujenzi wa hizo storage na siyo TRC.
Hiyo ni yako sababu umeamua iwe hivyo. Chukua mfano kukodi behewa Toka kigoma labda litakuwa ni 5mil kwa tan 40 na kumbuka Hilo behewa mara nyingi litarudi empty.Kaka ndiyo maana SGR imejengwa. Lengo kubwa ni kusafirisha mizigo. Kusafirisha abiria ni Service. Na hiyo mizigo unayoitaja haiwezi kuingizia pesa kubwa TRC. Mizigo inayoweza kuingiza pesa nyingi ni ile ya madini
The WB report states the number of people living in extreme poverty in Tanzania. NOT the economic situation of Tanzania as a country. Inaongelea idadi ya watu wanaoishi kwenye umasikini just like you've correctly said above, but in this case, extreme poverty. The report does not talk about whether or not Tanzania is a poor country. It talks about her people as you've rightfully said above. Sasa sijui mabishano ni ya niniNimegundua kitu kwako.
Wakenya mnakariri hamuelewi.
Kuna utofauti wa poor country na extreme poverty within a country.
Hiyo ripoti uliyoleta wewe inaonesha idadi ya watu wanaoishi below poverty line interms of dollar.
Ila haioneshi poverty extremities kwa nchi nzima.
Tofautisha nchi masikini na idadi ya watu wanaoishi kwenye umasikini katika nchi .
Wakenya hivi elimu zenu mnasomaga shule gani?
Unahabari trc washawahi miliki meli ya mizigo , je haikuwa kazi yao?Kaka kazi ya kujenga ma godown siyo ya TRC. Na pesa za TRC siyo kwaajili ya kujenga hayo magodown ipo na majukumu yake kaka. Elewa mfumo wa mashirika. Kama kujenga hayo magodown atajenga TPA au DP world yupo na MoU ya ujenzi wa hizo storage na siyo TRC.
Kaka TRC does not own dry ports. Kazi ya kulinda na kujua mizigo kwenye dry ports ni ya TPA. Kwanza unatakiwa ujifunze Value chain ndio uelewe ninachokiongea. Kazi unazotaka zifanywe na TRC ni za TPA. Tayari TPA wapo wanaendelea na ujenzi wa hizo dry ports. Na kutakuwa na storages hizo unazotaka.Ushafanya kazi kwenye shirika lolote la serikali au unaongea tu?
Kila shirika linatengewa formula ya matumizi.
| Sehemu | Kielezo |
|---|---|
| Dry port – Dodoma | Ilhumwa – node ya reli SGR, kusaidia kusambaza mzigo ndani |
| Dry port – Mwanza | Fela – kusaidia usafirishaji Ziwa Victoria & Uganda |
| Dry port – Kigoma | Katosho – kuhifadhi & kuagiza/kupeleka kwa Ziwa Tanganyika |
| Dry port – Dar | Kurasini – kuongeza uwezo wa warehousing bandari |
| Transit hub – Shinyanga | Isaka – transit kwa mizigo inayoelekea mikoa ya kati |
| Kigoma Port | Maboresho ya miundombinu kwa mzigo wa reli |
| Karema Port | Port mpya Ziwa Tanganyika – mradi kwa msaada wa binafsi |
| Cold storage | Kurasini/Ubungo – kuhifadhi mazao ya kilimo yenye joto maalum |
You are posting Kibera for the a millionth time. Endelea bongolalaView attachment 3403568
Ww kunyalazy bado nasubiri picha ulizosema
Lini TRC ilikuwa ina own hiyo meli? Kama ni hivyo ujue Tanzania ilikuwa haina institutions. lakini kwa sasa kila eneo lipo na Institution yake. Kwa sasa ukija usafiri wa majini Tanzania ipo na shirika lake linaloitwa Tanzania Shipping Company Limited (TASHICO)Unahabari trc washawahi miliki meli ya mizigo , je haikuwa kazi yao?
Tukisema hivyo inatakiwa ujue kuwa kabla ya hapo trc ishakuwaga na kumiliki wa meli je ilihusiana na kazi zao.Kaka TRC does not own dry ports. Kazi ya kulinda na kujua mizigo kwenye dry ports ni ya TPA. Kwanza unatakiwa ujifunze Value chain ndio uelewe ninachokiongea. Kazi unazotaka zifanywe na TRC ni za TPA. Tayari TPA wapo wanaendelea na ujenzi wa hizo dry ports. Na kutakuwa na storages hizo unazotaka.
Zingine zitakuwa za watu binafsi watapewa maeneo.
Check hapa kaka:
Sehemu Kielezo Dry port – Dodoma Ilhumwa – node ya reli SGR, kusaidia kusambaza mzigo ndani Dry port – Mwanza Fela – kusaidia usafirishaji Ziwa Victoria & Uganda Dry port – Kigoma Katosho – kuhifadhi & kuagiza/kupeleka kwa Ziwa Tanganyika Dry port – Dar Kurasini – kuongeza uwezo wa warehousing bandari Transit hub – Shinyanga Isaka – transit kwa mizigo inayoelekea mikoa ya kati Kigoma Port Maboresho ya miundombinu kwa mzigo wa reli Karema Port Port mpya Ziwa Tanganyika – mradi kwa msaada wa binafsi Cold storage Kurasini/Ubungo – kuhifadhi mazao ya kilimo yenye joto maalum
Kaka hujui biashara ya usafirishaji. Ninaumia sana kuona mtu ninayekuheshimu unakuwa mweupe kiasi hicho. Yaani unataka kufananisha biashara ya kusafirisha abiria iwe juu ya biashara ya kusafirisha mizigo? 😭😭😭😭Hiyo ni yako sababu umeamua iwe hivyo. Chukua mfano kukodi behewa Toka kigoma labda litakuwa ni 5mil kwa tan 40 na kumbuka Hilo behewa mara nyingi litarudi empty.
Tukija kwa abiria kwa mabehewa tuliyonayo sasa hivi kwa nauli ya 90,000*78=7,020,000, basi limeenda nusu na kurudi nusu bado litaingiza 7mil kwa go and return huku like la mizigo litakuwa na 5mil.
Ukweli unabaki kuwa abiria bado anaweza lipa kuliko hata mizigo ila inahitaji watu wenye vichwa wafanye kazi
🤣🤣🤣🤣 Manispaa na Halmashauri ipi imejenga viwanda vya matofari? Lini TRC imewahi ku own meli? Hicho kiwanda cha korosho unachoongelea siyo cha Nanyamba DC kaka ni cha TANECU LTD (Tanzania's National Cashew Union)Tukisema hivyo inatakiwa ujue kuwa kabla ya hapo trc ishakuwaga na kumiliki wa meli je ilihusiana na kazi zao.
Ukienda manispaa na halmashauri , sasa hivi kuna baadhi ya halmashauri zinajengwa viwanda kama matofali, na korosho je ni kazi yao?.
Je ni wajibu nanyamba DC kujenga kiwanda Cha korosho badala ya mamcu mtwara ambao ndo chama Cha ushirika?
Ukienda kaliua je ni halali halmashauri ya kaliua kuwa na mitambo ya ujenzi kama graders na bulldozer kwa ajili ya kukodisha badala ya tarura ambao ndo wakala ya ujenzi wa barabara za vijijini?
Kwanza nikuambue tu Mimi sio msafirishaji ila shughuli zangu huwa natumia sana malori na ofisi zangu kuu ni songea na dodomaKaka hujui biashara ya usafirishaji. Ninaumia sana kuona mtu
Dodoma dar bei kwa sasa inaanzia 70,000 kwa tani labda ukutane na Lori limetoka masafa. Kwa tani 30 ni 2,100,000 .ninayekuheshimu unakuwa mweupe kiasi hicho. Yaani unataka kufananisha biashara ya kusafirisha abiria iwe juu ya biashara ya kusafirisha mizigo? 😭😭😭😭
Hebu tuambie kusafirisha ton moja ya mzigo kutoka Dar kwenda Dodoma ni Sh. ngapi?
Nawe post kibera ya dar maku wwYou are posting Kibera for the a millionth time. Endelea bongolala
Asante nawe umeliona hilo. Nishamwambia anasoma article lakini haelewi anakuja kupayuka hapa.Hapo kwanza kashajichanganya,kuna nchi masikini na idadi ya watu walio chini ya umasikini katika taifa.
Amechanganya mambo mawili.
Ripoti aliyoleta yeye inaonesha population which is below poverty line or population which faces poverty extremity tena interms of dollar.
Ok nadhani hujui ntakupa mfano🤣🤣🤣🤣 Manispaa na Halmashauri ipi imejenga viwanda vya matofari? Lini TRC imewahi ku own meli? Hicho kiwanda cha korosho unachoongelea siyo cha Nanyamba DC kaka ni cha TANECU LTD (Tanzania's National Cashew Union)
Halmashauri ya tunduru inamiliki shule ya international school kwa ajiri ya vibopa na haiko kwenye mpango wa shule za kawaida ni kwa ajiri ya faida.Bashe azindua kiwanda cha kubangua korosho Mtwara
Takribani Bilioni 3.4 inaelezwa kuwa zimetumika kujenga kiwanda hicho huku ikikadiriwa kuwa na uwezo wa kubangua korosho tani 3,500 kwa mwaka Waziri wa Kilimo, Mh. Hussein Bashe…radiotadio.co.tz
Kaka unaongea theories sana. Hakuna ukweli wowote umeweka hapa. Nimekuomba uweke mahesabu hapa.
Sasa kaka kwa hiyo tu bei uliyo iweka ya Tsh 70,000 kwa tani. Hebu tuambie sasa SGR imepeleka 1,400 tonKwanza nikuambue tu Mimi sio msafirishaji ila shughuli zangu huwa natumia sana malori na ofisi zangu kuu ni songea na dodoma
Dodoma dar bei kwa sasa inaanzia 70,000 kwa tani labda ukutane na Lori limetoka masafa. Kwa tani 30 ni 2,100,000 .
Trc Dom dar kwa tan 40 ni 2.5 utachagua mwenyewe ( unaweza prove kwa kudownload bei zao kwa mtandao)
Naona option ya "edit" imekuokoa kijana wangu.Where I have said that Tanzania is located in southern Africa? Did you read to understand ama Sasa unakufa kifo cha maji?
This is what I said
View attachment 3403589
Show me where I said Tanzania is in southern Africa. Wewe umeishiwa, kojoa ulale