Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongo
Screenshot_2017-03-25-03-12-00.png
 
ebu tuletee zile photo zako za tpa na pspf mkuu....🙂🙂🙂🙂🙂😀😀😀😀😀😀😀😀
Kama unajiamini twende jengo moja baada ya moja nimewaambia ajitokeze mkenya anaejiamini aje hapa wote mmeingia mtini hahhahahaha😀😀😀😀😀 uko tayari tuanze hapa
 
Kama unajiamini twende jengo moja baada ya moja nimewaambia ajitokeze mkenya anaejiamini aje hapa wote mmeingia mtini hahhahahaha😀😀😀😀😀 uko tayari tuanze hapa
sina picha mimi...mi si photographer.
 
Hahahhaha siunaona sasa mimi nawajua vzr nyie ndio maana hua hamnisumbui😀😀😀😀😀😀
sasa cha ajabu nikipi nkisema sina picha....tuna kazi tofauti tofauti but atajitokezea tu mmoja mwenye ako nazo
 
sasa cha ajabu nikipi nkisema sina picha....tuna kazi tofauti tofauti but atajitokezea tu mmoja mwenye ako nazo
Alikuja mmoja akajifanya mbabe akapotea akaja deepey nae akachomoka hahaha sasa mkiambiwa nairobi ndogo inamajengo machache hamutaki hahhahahha😀😀😀😀😀
 
Na sasa ngosha kashikilia Barbara ya chalinze 120km ijengwe njia nane from city centre kwenda chalinze 120km kaishupalia sasa hahaha ngosha magufuli ni hataiii weka mbali na watoto
 
Hehehe nyako , umekuja tena baada baada baada tanzani imeanza kujenga SGR 😀😀 ...roho zinawauma wa wivu 😀
 
Bila shaka we ulishapelekw labour room kwa chuki
sina chuki na tz ndugu...... tz ikiendelea pia kenya itaendelea.mfano tu...ingekua tz imeipatia kenya changa moto since independence am very sure saa ii these two countries zngekua mbali sana.sna chuki unless uwe unayo wewe
 
Kama huna chuki kubali dar kubwa kuliko nairobi tena kubwa sanahahahhahaa na 2018 tutaanza kuwauzia umeme wakutosha so be ready my friend
 
Back
Top Bottom