Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

pal....acha kujidanganya.sasa bridge ijengwe nai ikienda wapi?beaches nituzichimbe wenyewe nai au?achana na hayo mambo ya nature.all of dar is unplanned usiseme few,the ariel shot ya dar na nai clearly shows that.kasarni ina capacity ya 60k sawa na iyo stadium yenu mlijenga juzi when yetu iliisha 1987.ukiongelea cbk na bot,unamaanisha building au?ebu fafanua pliz..upcoming projects ata usiguse na uko kwenye skyscraper..the tallest iko nai na bado tunajenga the 4 tallest in east africa,tallest in africa...hass above 300m na 200m..apo kuna avic six towers..apo kuna montave kuna hazina..which are all taller than what you have currently in dar...flyovers nazo usiguse kabisa...nairobi comuter ishaanza kujengwa cz station ya embakasi washabreak ground...dont compare na dar.chenye mmezidi ni brt peke yake
Hahahhahaha jamaa kazidiwa anaanza kutupangia project sasa we we hutaki nairobi iwe 696 au we we unatakaje ahhahhaaha
 
Bongo
Screenshot_2017-03-25-03-12-30.png
 
Wamerudi baada ya kuskia electric train imeanza hahahhahaahahhaha hawa watu bana shida tu hawataki dar iwe 2017 wanataka iwe 90s sasa wanaforce hahahhahahhaa
 
Ngosha magufuli naona anawaumiza kichwa hahahahh jamaa kila project anataka ziende kwa haraka hataki kuona upuuuzi hahahahaahah
 
hapo nmesema feelings peleka labour room....heheeee
Ukizidiwa unakaa kimya tu bado dar ndio the fastest growing city on planet haahahhahahah hata ufanye na bado dar ni kubwa Mara tatu ya nairobi hata uimbe kijaluo
 
Na hio kitu imeanza sasa hahhaha new salender bridge 7 km bridge juu ya maji hahahhhaah ngosha anawaumiza
salender1.jpg
14592006_165074533997708_4295688927815139328_n.jpg
 
Ukizidiwa unakaa kimya tu bado dar ndio the fastest growing city on planet haahahhahahah hata ufanye na bado dar ni kubwa Mara tatu ya nairobi hata uimbe kijaluo
leta picha nifurahie mimi acha maneno mengi
 
Na sasa ameingia kwenye barabara mukae mkao wa kula hahahhahha dar of 2017
 
Dar ni kimya kimya ndio maana tumejenga dar 10 years kimya kimya Leo naona munachachawa hhhahahahhahaha
 
Hahahaha utaelewa tu unajifanya kichwa ngumu hehehheheh Edward alituletea eti farmajo kaja Kenya hahaha sasa farmajo nani nilicheka sana
ebu tuletee zile photo zako za tpa na pspf mkuu....🙂🙂🙂🙂🙂😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom