Juu huoni kenya iko 16% na Tanzania 53%.Paper GDP ππππ
View: https://x.com/BD_Africa/status/1940738546396287249?t=IKYfxkBvYFQZRAWqYBuQhA&s=19
Kenya madini mnayo ila wanachimba BATUK na Wachina wahuni
Ila si gharama sana hivi aisee!?Nilimsikia Rais akimwambia DG Mpya wa Tanesco waanze kufikiria kujenga vinu vya nuclear.
Sio jambo la ajabu maana hata Uganda na Kenya wako kwenye Mpango wa kujenga hizo reactors,Uganda ndio Yuko ahead zaidi.
View: https://www.instagram.com/p/DLmhGw-q1TI/?igsh=Nmt1dTJ2bnlwODc4
That's health, nd we have covered the gap.59%???
Enyewe hiii nchi ya madini ni LDC proper!
Tanzania tumeanza kujikongoja wenyewe nje ya misaada kwa kuanzia sekta ya afya.That's health, nd we have covered the gap.
But, on overall aid, Kenya was highly dependant on USAID.
Watanzania wameachiwa kuchimba VISIMA VYA MAJI... Madini wanachimba ACACIA wenzake..Kenya madini mnayo ila wanachimba BATUK na Wachina wahuni
Pesa ya Serikali au Deni la Taifa?Tanzania tumeanza kujikongoja wenyewe nje ya misaada kwa kuanzia sekta ya afya.
Juzi tu nimempeleka wife clinic aisee vipimo vingi vilivyokua vinatolewa kwa hisani ya Amerika havipo na vinakuwa provided na serikali yenyewe kwa pesa zake.
Pesa ya serikali.Pesa ya Serikali au Deni la Taifa?
Whatever lakini serikali ina hisa 16% na wachimbaji wanalipa kodi na mirabaha.Watanzania wameachiwa kuchimba VISIMA VYA MAJI... Madini wanachimba ACACIA wenzake..
Kwanini 84% ya wawekezaji ni ya kipindi chote cha uchimbaji?? Huu uwekezaji unaofanywa kwanini usigharamikiwe na kinachozalishwa kwanza halafu baadaye Serikali ipate hata 80% ya faida?? Hapo ndo wajanja wakaja na akili kwamba always wanapata hasara lakini hawaondoki..Whatever lakini serikali ina hisa 16% na wachimbaji wanalipa kodi na mirabaha.
Lakini pia serikali imeanza kuwanunulia vifaa wachimbaji wadogo.
Hakuna nchi yenye mipango yenye afadhali ya kuwezesha wananchi wake kama Tanzania (tuna matatizo yetu ndio) ila kwenye hili tunajitahidi.
Kinachotuangusha kama vijana ni viroho fulani vya ubinafsi na roho mbaya za ndani ndani na kushindwa kufanya kazi kwa kushirikiana.
View: https://youtu.be/KAZOs4KwhUU?si=K01eXAI0MUB3eqNs
Afrika tuna shida kubwa ya:Kwanini 84% ya wawekezaji ni ya kipindi chote cha uchimbaji?? Huu uwekezaji unaofanywa kwanini usigharamikiwe na kinachozalishwa kwanza halafu baadaye Serikali ipate hata 80% ya faida?? Hapo ndo wajanja wakaja na akili kwamba always wanapata hasara lakini hawaondoki..
Na kama wanapata faida siye ndo wajinga..
View:
Juu huoni kenya iko 16% na Tanzania 53%.
But because its a kenyan newspaper unaandika paper gdp.
This is why this forum is becoming tedious. Its like arguing with children
59%???
Enyewe hiii nchi ya madini ni LDC proper!
Fala hajui kusoma, anashare link bila kuelewa. π€£ π€£59%???
Enyewe hiii nchi ya madini ni LDC proper!
Fala hajui kusoma, anashare link bila kuelewa. π€£ π€£
Kumbe Talanta haikuwa PPP ya Mchina?
View: https://x.com/MwangoCapital/status/1940402532066480537?t=g6bE1IAv3aeUl1aUEZ7JrA&s=19
Project ndogo sana ila inawatoa jasho jingi
What is it Mr. REAL Comrade Mapepo?Tenwek isn't Kenyan.