ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Ndio!Hivi Somalia hali ya usalama imetulia kabisa?
Basi soon wataendelea na wao kimaendeleo,maana uongozi wao seems to be serious kwa mipango wanayopanga.Ndio!
KQ, ET, Turkish airlines zinaenda Somalia! Usiwe negative kumbuka sisi ni wazalishaji wakubwa wa chakula East Africa na bidhaa za viwandani pia! Twende hata South Sudan! PW wanaenda kufungua branch Comoros!Basi soon wataendelea na wao kimaendeleo,maana uongozi wao seems to be serious kwa mipango wanayopanga.
Japo najiuliza,kwanini hapa EA wanaitizamia sana Tanzania kama mshirika na kigezo?
I'm in Mogadishu right now, the city is calm and heavily millitarized but I wouldn't advice anyone to move outside the city. Turkish Airlines is the most frequent major airline here. Amount and quality of fresh food is wanting.Hivi Somalia hali ya usalama imetulia kabisa?