Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama jiji linajiweza lingekuwa na uwanja na timu zingekuwepo huko kwa sababu hamna kitu ndiyo maana kila kitu ni Nairopori wewe unajisikiaje kuwa Dar, Zanzibar, Arusha, na Dom zitahost mashindano ya Caf
So jiji kujilewaza ni kuwa na uwanja wa mpira? Hivi, 'majiji' zenu za Mwanza na Mbeya ziko na viwanja vya mpira?
 
I still take you back to my earlier question: Among all the cities you've mentioned, both in Uganda and in Tanzania, ni gani inaizidi Mombasa kwa muindumbinu? And please mention those segments of infrastructure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…