REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,676
- 11,694
View: https://vm.tiktok.com/ZNdyMLtYf/ looks ukunyan ukivaa jezi ya Yanga basi umeyapatia,huyu demu wa kikunya hii jezi aivui huko tiktok
Wacha kelele utopolo!ulishawah sikia club kubwa kama realmadrid inajenga team? au hamujui maana ya kujenga team 😂😂😂😂
huo msemo wa kujenga team ni msemo ambao viongozi wa simba wanajificha humo haiwesekan team kubwa kama ya simba ikawa inajenga team never ever
Sio kitu normal ndio maana ilisababisha usumbufu na ikaripotiwa na saivi hakuna haya mambo yalishadhibitiwa lakini Kunyaland mpaka expressway zinapita kama kawaKenya hatubebi magari kwa mikokoteni. Wacha kufanya guess work za kipumbavu, kama umekosa source sema usaidiwe.
View: https://x.com/Nipashetz/status/1010404838201548806
Hawana huo ubavu, frequencies zao bado ni childish level riots flani za boarding schools mkipunguziwa share ya maharage kuchoma makaratasi na kuvunja vioo na kuiba ukoko wa wali.
Kana sura ngumu kama chokoraa tiwages Teargas halafu ndio karembo huko ukundustanHalafu ni kabaya kama kaka zake 😂 😂
Wasichojua wanazid kufukuza wawekezaji na watalii bila kujua. Hayo maandamano sababu ilikuwa ni maadhimisho haikupaswa kufanya vurugu zozote.
Wanajijua wao na nchi yao. Sisi haituhusu. Sisi tuendelee kula ubwabwa wa nazi kwa maharage na maziwa ya mtindiWasichojua wanazid kufukuza wawekezaji na watalii bila kujua. Hayo maandamano sababu ilikuwa ni maadhimisho haikupaswa kufanya vurugu zozote.
Watu wamevunjiwa maduka
Sasa tukusmini wewe ama yule kilaza mwenzako aliyesema ni Iringa miaka ya 1990s?Hii picha ni 2017 kutoka kwa Ramadhan Gale, Dodoma (twitter). Nakumbushia tu tupo 2025😁.
Hii nyumba ni mbaya bhana. 🤣🤣🤣 kutengeneza nyumba porini si kitu ya kujifu bhana.Karen watu wanajenga mansions on 2 acre land while huko bongoslum Diamond anajenga kwa plot ya 40 by 80. 🤣 🤣 🤣 Rolls Royce atakua anaipark karibu na perimeter wall kama zile nyumba za afrocinema.
Watu hawaandiki kiingereza Tanzania 🤣 🤣wameitrim hii picha ili tusiwezepata source yake. Hiyo ni Kenya.
Hii hapa ni "Fast Food" Huwezi pata migawa ya uswazi wanaandika Kingereza Tanzania.
View attachment 3383587
Watu hawavai Chachacha Tanzania. Hii ni product juakali ya Bata huko Kenya.
View attachment 3383590
Watu wa kibera wanafikiri kwa kutumia makalio.Watu hawaandiki kiingereza Tanzania 🤣 🤣
Ushapata maelezo hapa juu hapo ni Tandale uswazini
we are in the process of building vumbi litaondoka lote.Washington DC halina vumbi.
Amini utakavyo.😂Sasa tukusmini wewe ama yule kilaza mwenzako aliyesema ni Iringa miaka ya 1990s?
Atakuja tena mwingine aseme ni 1930s