Eeeeish. Na na I, manage hapa boss!!!๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃAmezaa mtoto!
Utakuwa umetumia AI kutengeneza picha hiyo. Wakenya tunawajua mwezi uliopita tu mmetengeneza picha nyingi kwa kutumia AI kuwadhalilisha viongozi wa TanzaniaMiaka ya 90's kulikua na hio Howo Truck bongoslum. Kudanganya wakenya inahitaji mtu ana akili.
Picha za AI zinajulikana, kama wewe hujui kutofautisha, basi hio ni shauri yako.Utakuwa umetumia AI kutengeneza picha hiyo. Wakenya tunawajua mwezi uliopita tu mmetengeneza picha nyingi kwa kutumia AI kuwadhalilisha viongozi wa Tanzania
Afrika yote inajua projects za kenya ni chache sana ndio maana mnatuma picha hiyo hiyo mara saba kila siku.Tena kwa mara ya nane.
Hebu tuambie wana JF huwa unatumia tools zipi za AI kutengeneza picha za uhalisia?Picha za AI zinajulikana, kama wewe hujui kutofautisha, basi hio ni shauri yako.
Kumbe ni kitu wamezoea. ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ
Hapo siyo Tanzania ni KenyaKumbe ni kitu wamezoea. ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ
Hii picha ni 2017 kutoka kwa Ramadhan Gale, Dodoma (twitter). Nakumbushia tu tupo 2025๐.
Kumbe ni kitu wamezoea. ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ
wameitrim hii picha ili tusiwezepata source yake. Hiyo ni Kenya.Hapo siyo Tanzania ni Kenya
Hapana ni miaka ya 30's.Miaka ya 90s
wameitrim hii picha ili tusiwezepata source yake. Hiyo ni Kenya.
Hii hapa ni "Fast Food" Huwezi pata migawa ya uswazi wanaandika Kingereza Tanzania.
View attachment 3383587
Watu hawavai Chachacha Tanzania. Hii ni product juakali ya Bata huko Kenya.
View attachment 3383590
Kumbe 2018 Kwikwikwikwi Magufuli eraKenya hatubebi magari kwa mikokoteni. Wacha kufanya guess work za kipumbavu, kama umekosa source sema usaidiwe.
View: https://x.com/Nipashetz/status/1010404838201548806
mwambieni mo aache utapeli naskia kuna watu hawajalipwa miez miwili๐๐Nawapongeza watani we will come back stronger next time. Tunageukia usajili na Champions League sasa.
ulishawah sikia club kubwa kama realmadrid inajenga team? au hamujui maana ya kujenga team ๐๐๐๐Ndio mchezo mkuu bado tunajenga timu.