Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Embu tuambie mkataba wa jezi Yanga anapata sh. ngapi? pia kuvaa logo ya GSM timu inapokea sh ngapi?
Mkataba wa jezi, ni Tsh 3,000.

Gboost ni billion 1 kwa miaka 5.

Logo ya GSM sijui unamaamisha nini, maana GSM ni mtengenezaji wa Jezi ndio maana logo yake ipo, kama Simba walipokuwa na Logo ya Vunjabei.
 
Sgr train ya Kenya Moja inabeba swa na mbili za vumbistan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…