bilioni 20 aliyoahidi si kuwapa Simba kama cash bali alikuja na plan kwamba hiyo hela ataifungia kwenye bond ya muda mrefu na mahesabu ya wakati ule ni kuwa italeta faida ya 3.5bn kila mwaka kwaajili ya kuendeshea simba na on top of that anaongezea na hela zake juu.wanaulizana ile billion 20 alioahidi mpaka kesho hawazioni na sasa ni 7 yrs πππ
mara aliahidi kujenga uwanja, alaf baadae unaskia anatoza michango kwa wanachama kujenga ukuta wa uwanja ππ
tajiri analia kila wakat mitandaoni anapata hasara mara anatak kususia team huyo anajiita tajiri πππ
Balance ya Ksh 375 ndio unatupigia nayo kelele? Wewe hata wale ombaomba omba kutoka Tanzania wamekushinda. They are always sure if having at least 400 bob by day's end. Wewe 375 unataka kujifanya tajiri WA kijijiππPost bank statement yako maneno mengi ya nini?
Anaficha pesa uvunguni. πππMtawaua wenzenu wamezoea kuweka pesa kwenye vikoba
We all know uko na balance ya 300 bob. Your editing has misled youπππππ
Unakumbuka Ile siku alijiita computer guru eti anahack government of Kenya websites?πππJamaa hukaa fala Sana. Mara sijui amesomea political science, mara amesomea theology, mara amesomea catering etcπ
Kumbe hata kusoma bank statement hujui Toka lini bank balance ikawa kwenye eneo la transactions.Balance ya Ksh 375 ndio unatupigia nayo kelele? Wewe hata wale ombaomba omba kutoka Tanzania wamekushinda. They are always sure if having at least 400 bob by day's end. Wewe 375 unataka kujifanya tajiri WA kijijiππ
Sasa 20b inafanya nini?bilioni 20 aliyoahidi si kuwapa Simba kama cash bali alikuja na plan kwamba hiyo hela ataifungia kwenye bond ya muda mrefu na mahesabu ya wakati ule ni kuwa italeta faida ya 3.5bn kila mwaka kwaajili ya kuendeshea simba na on top of that anaongezea na hela zake juu.
Hana bank atajulia wapi! πππKumbe hata kusoma bank statement hujui Toka lini bank balance ikawa kwenye eneo la transactions.
Ndo ubaya wa kuweka fedha chini uvungu
Wewe hakuna unachajua. Difference between Debits and Credit unapata balance. No wonder you are a primary school dropout.Kumbe hata kusoma bank statement hujui Toka lini bank balance ikawa kwenye eneo la transactions.
Ndo ubaya wa kuweka fedha chini uvungu
Hutaki hii tena? Sio wewe ulipost hii?πππ.Endelea kulazimisha niwe masikini kama wewe.
Mbona hutaki kupost statement yako unapost yangu. πππ
View attachment 3382384
By the way alifika wapi na hiyo adventure yake?ππUnakumbuka Ile siku alijiita computer guru eti anahack government of Kenya websites?πππ
Sawa tuoneshe hiyo 375ksh kwenye hiyo bank statement π€£π€£π€£π€£.Wewe hakuna unachajua. Debit minus Credit unapata balance. No wonder you are a primary school dropout.
Kaka unaandika porojo tu hapa. Wewe ndiye uliyesema Bakhresa(AZAM) ni kampuni kubwa kuliko MeTL. Tumekuomba ulete ushahidi π€£ π€£ π€£ π€£ eti unaniambia niende vingunguti nitaona namna AZAM ilivyo. Kaka hapa unajadiliana na msomi mwenye details nyingi. Ukija na arguments zako za vijiwe vya kahawa utagonga mwamba.Unapoongelea mtaji wa mtu lazima uguse taarifa zake za kihasibu .
Kwa mfano nataka kununua hisa za kampuni flani sikurupuki kwenda kununua kwa kuangalia yaliyoandikwa magazetin.
Unavuta taarifa zake za kihasibu unaangalia Kila kitu mpaka madeni yanapatikan, mpaka thamani ya sset ni majina yake yatasomeka, kama kuna magari yatatajwa kwenye taarifa husika .
Sasa wewe kwa sababu ni mkurupukaji unadhani taarifa ya kampuni inapatikana mtandaoni.
Ingekuwa Azam na Metl wote wametoa taarifa zao za kihasibu sawa tungeweza kubaliana nao, lakini kwa sasa tutaangalia Ile value ya asset au machinery alizowekeza na hapa ni gues work tu
Sio wewe ulipost hii? Ama huitaki tena?ππππ ππ
Akiweka ndani ya 10 minutes nanyaa kariakoo kweupe , hapo mpaka akaombe sehem
Wewe ni nguruwe. Hapo juu in the white section kuna difference ya Credit and Debit na hiyo ndio balance yake. It's 7,500 Tanzanian money and 375 bob in Kenyan money.Jamaa amejikunia bila kujuaππSawa tuoneshe hiyo 375ksh kwenye hiyo bank statement π€£π€£π€£π€£.
Kumbe ni credit 6000 kati 35mil nakuwa na balance ya 6000 π€£π€£π€£π€£. Shule ya polini kweli
iko wapi hio bond bro no where to be seen hata kiwangwala aliposema kawasiliana na bank zote tanzania hakukua na ushahidi wowote kua pesa hzo zimewekwabilioni 20 aliyoahidi si kuwapa Simba kama cash bali alikuja na plan kwamba hiyo hela ataifungia kwenye bond ya muda mrefu na mahesabu ya wakati ule ni kuwa italeta faida ya 3.5bn kila mwaka kwaajili ya kuendeshea simba na on top of that anaongezea na hela zake juu.
Wewe pia uko na 375 bob kwa account ama hata hiyo bank account ndio huna?πππAkiweka ndani ya 10 minutes nanyaa kariakoo kweupe , hapo mpaka akaombe sehem