Hizo ni stori tu Mkuu, na Mo amewekwa kama uso wa kampuni.Mwenye hisa kubwa ni mo ila hana kiwanda chochote kikubwa size ya Azam, mifano ipo wazi tu kiwanda Cha vinywaji kisemvule versus kiwanda vinywaji Cha Metl ( hata location haijulikani)
Umeambiwa MeTL inachangia 5% ya GDP ya Tanzania. Bakhresa inachangia kiasi gani?Revenue haipatikan mtandaoni ndugu ila utazipata kwenye vitabu vyake vya mahesabau na yeye Sheria haimbani kutangaza mapato yake
Nami ntakuuliza Metl amelipa Kodi kiasi gani kwa serikali?Kaka unaongea kwa hisia tu. Tuambie sasa hiyo kampuni ya Bakhresa imeajiri watanzania wangapi compared to MeTL.
Metl yeye kaamua taarifa yake iwe wazi ila Azam sababu kwa sababu hataki huwez sikia ikitangazwaUmeambiwa MeTL inachangia 5% ya GDP ya Tanzania. Bakhresa inachangia kiasi gani?
Azam hana uwekezaji wa kitoto wala wa kubahatsha.Ukitaka kujua mziki wa Azam tembelea pale vingunguti na buguruni uone mziki wa mabehewa yanavyopakiliwa kwenda isaka na kigoma kwa ajili ya congo na rwanda.
Mimi huwa naweka Evidences wewe unaweka maneno tuHujajibu swali investments kubwa ya Metl ni ipi ? Mim naona unahangaika na data za mtandaoni tu
Huo ndo uhalisia, ukiambiwa tutafute kiwanda Cha kutosha Cha Metl versus Azam hupati.Azam hana uwekezaji wa kitoto wala wa kubahatsha.
In short, Azam anajua uwekezaji na biashara.
Mo anajua biashara za haraka haraka tu.
Anasubiri karibu na mwezi wa Ramadhan, ae de Pakistan achapishe Tambi za buku buku alete.
Anataka awinde tender za serikali asambaze pikipiki.
Au anategemea aone bidhaa ipi ya Azam inafanya vizuri sokoni, akopi.
Kaka ngoja kwanza nikupatie kazi za MeTL kisha tuendelee na mambo mengine. Maana nimekupatia Revenue ya MeTL hujaniletea ya Bhakresa. Nimekupatia Idadi ya watu walioajiriwa na MeTL wewe hujaleta kutoka AZAM.Nami ntakuuliza Metl amelipa Kodi kiasi gani kwa serikali?
Metl kaajiri watu wengi basi kalipa kiasi gani Cha sdl kwa serikali au 🤣🤣🤣?
Viwanda serious vya Mo viko Kurasini, ambako anatengeneza Sabuni na mafuta ya kula.Huo ndo uhalisia, ukiambiwa tutafute kiwanda Cha kutosha Cha Metl versus Azam hupati.
Yaan linganisha Azania flour Mills versus Azam flour mills pale buguruni ni kama kagodown tu.
Ukienda kwenye viwanda vya Metl nchi kama Mozambique ,Rwanda na kadhalika ni kama vigodown tu.
Kaka leta vitu vya facts siyo hisia.Huo ndo uhalisia, ukiambiwa tutafute kiwanda Cha kutosha Cha Metl versus Azam hupati.
Yaan linganisha Azania flour Mills versus Azam flour mills pale buguruni ni kama kagodown tu.
Ukienda kwenye viwanda vya Metl nchi kama Mozambique ,Rwanda na kadhalika ni kama vigodown tu.
Kama Azam ni mkubwa kuliko METL basi alipe kodi stahiki!Hiyo turnover ipo hivyo Toka mwaka 2015 View attachment 3382115
Kipindi hicho Azam hamkuwa na hizo kampuni
United petroleum
Bagamoyo sugar
Hotel Verde Zanzibar
Union properties
Mimi nadhan ungejikita kwa kutuletea sample ya uwekezaji wa Metl versus Azam ila kwa turnover ,hakuna mfanyabiashara anaweza kuweka wazi mauzo yake, hata hiyo Metl aliyoweka bado ni ndo sana kwa mauzo , huku mtaani watu wanamauzo zaid ya hata hayo ila ni issue za tra
Kaka dunia haiendeshwi kwa emotions. Inaendeshwa kwa facts. Hebu anza kwanza kuwaza nje ya box.Viwanda serious vya Mo viko Kurasini, ambako anatengeneza Sabuni na mafuta ya kula.
Lakini pia anavyo vya unga na vinywaji.
Biashara nyingine za Mo ni Yard ya empty containers, na Khanga Morogoro.
Nyingine ni bishara za chap chap tu.
Ila Azam,
-
- Media
- Unga
- Ice cream
- Vinywaji
- Marine tranaport
- Real estate /Fumba town/Hotel verde
- Technology
- Mpira
Bado ukienda Kenya, Rwanda, Uganda, Mozambique, unamkuta.
Azam habahatishi hata kidogo
Ndo maana tunakuambia hauko serious ,Mimi huwa naweka Evidences wewe unaweka maneno tu
MeTL:
Soma Company Profile ya MeTL hapa
Nitakuletea moja baada ya kingine
AGRICULTURE (KILIMO)
- Sisal
- Cotton (Pamba)
- Oil Palms (Michikichi)
- Sugar (Miwa/Masukari)
- Cashews (Korosho)
- Tractors & Implements (Matrekta na Zana za Kilimo)
Huyu nduguyo anamsikia Azam tu hajui hata uwekezaji wake🤣🤣🤣🤣🤣Viwanda serious vya Mo viko Kurasini, ambako anatengeneza Sabuni na mafuta ya kula.
Lakini pia anavyo vya unga na vinywaji.
Biashara nyingine za Mo ni Yard ya empty containers, na Khanga Morogoro.
Nyingine ni bishara za chap chap tu.
Ila Azam,
-
- Media
- Unga
- Ice cream
- Vinywaji
- Marine tranaport
- Real estate /Fumba town/Hotel verde
- Technology
- Mpira
Bado ukienda Kenya, Rwanda, Uganda, Mozambique, unamkuta.
Azam habahatishi hata kidogo
Kwa wafanyabiashara AZAM imeshakuwa sehemu ya UCHUMI wa nchi.Huyu nduguyo anamsikia Azam tu hajui hata uwekezaji wake🤣🤣🤣🤣🤣
Kaka MeTL haitegemei kiwanda kimoja tu. Mimi ninakupatia vitu kwa Evidences? Nikuuliza AZAM yupo na kiwanda cha nguo?Ndo maana tunakuambia hauko serious ,
Metl hana kiwanda chochote Cha sukari Tanzania ndo kwanza anapanga kuanza kujenga baada ya kununua eka 25,000 hii ni baada ya kuona Azam kafanikiwa kwenye sukari kama ilivyokuwa kwenye energy drinks.
Metl hana kiwanda Cha farm implements bali ni wakala tu wa hivyo vitu.
Metl ni mnununuzi tu wa mazao na kuexport hakuna processing yoyote anayofanya hana kiwanda chochote Cha kubangua korosho Dunia hii Wala hata Cha kubangua mbaazi kama mwenzake wa Moro.
Biashara kubwa ambazo tunaweza sema ndo kawekeza ni kwenye sisal na pamba tu.
Ila mafuta ya kula hakuna hata usd 150mil ya uwekezaji pale na kwa kama hujui hata hayo mafuta yenyewe analetewa kwa mkopo tu
We naona unachoongea ni ushabiki tu umeambiwa taja hata cost ya kiwanda kimoja Cha Metl iliyozidi usd 100mil bado umeshindwa leta . TchaoKaka MeTL haitegemei kiwanda kimoja tu. Mimi ninakupatia vitu kwa Evidences? Nikuuliza AZAM yupo na kiwanda cha nguo?
MeTL yupo na 21st Century Textiles Limited
45,000+ metric tons of cotton processed annually
2300+ full-time employees
100 million running metres offabric produced per annum
Tuletee hali ya Bakhresa Wewe unang'ang'ana na kiwanda cha Sukari tu hicho kimoja.