chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,741
- 46,082
Halafu mnasema arusha stadium ipo porini? Naislum developed area ni very small just see all that empty vast savannahTalanta is a pipe dream and other chronicles from changombe
View: https://youtu.be/b4DCNDx9W9w?si=P1yF9NwVIkKHWr8N
Mzungu akisemaga Tanzania have best trains in Africa and they are Electric. Mkenya kitu cha kwanza kujibu kwa kukoment kuwa ( hukwama msituni, they want to replace with diesel, they don't have enough Electricity etc)Yule bolt driver akujua kama benjamin ni mbongo kwa ule muonekano wake,vile ndivyo wakenya wanavyowadanganya wageni kuhusu vitu vya TZ,humu tulishaambiwa sgr yetu kuna mkopo tumechukua kundustan basi ndio ujue hata wageni wanaambiwa hivyo
Hao ukikaa kimya ndio dawa yaoKenyans!🙄🚮🚮
Stadia are so small projects to be shouting with.Talanta will never be built and Kenya will not host CHAN or AFCON. Which other Chronicles from Tandale do you remember?View attachment 3380703View attachment 3380704View attachment 3380705View attachment 3380706View attachment 3380708
we kweli unaamini hiyo list 🤣🤣🤣Where is your bongoslum?
Again where is bongoslum
For the past 10 years hawajfanya any significant project ya tune hiyo lazima wapigie kelele remember maskini akipata matako hulia mbwataStadia are so small projects to be shouting with.
Jmmlisha SGR na LAPPSET.For the past 10 years hawajfanya any significant project ya tune hiyo lazima wapigie kelele remember maskini akipata matako hulia mbwata
Kenya hovyo sana wametoa wapi oil? Maana they count oil inayoenda Uganda, Rwanda na DRC kama exports sasa na sisi tukifanya hivyo si itakuwa 30bn. Accounting za kundudwellers ni bure kabisaKwanza tukusaidie exports ya goods zote ni hizo hapo bila servicesView attachment 3380654
Bidhaa mlizosafirisha kwa wingi ni hizo hapo jikadilie sasa mnaweza fika hata 1 bil ya manu. GoodsView attachment 3380660
Kenya kuna madini na Oil huko Turkana ila yanachimbwa kimagendo.Kenya hovyo sana wametoa wapi oil? Maana they count oil inayoenda Uganda, Rwanda na DRC kama exports sasa na sisi tukifanya hivyo si itakuwa 30bn. Accounting za kundudwellers ni bure kabisa
Gold ores, Agricultural products along the line Cotton, Sunflower, sesame etcBefore I answer that question, tell me ni mzigo gani iko Mwanza ya kupeleka Dar
Mbona playing ground haifiki kweye edge ya stands?Talanta will never be built and Kenya will not host CHAN or AFCON. Which other Chronicles from Tandale do you remember?View attachment 3380703View attachment 3380704View attachment 3380705View attachment 3380706View attachment 3380708
Umesahau dhahabu ya lake zone.Mwanza ni karibu na mara region ambayo inapakana na Serengeti national park . Kwahiyo mara kuna mzigo copper kutoka kamba hills na gibaso estimated 40mil tonnes
Slate kutoka buhemba
Kuna mzigo wa pamba, samaki mchele kutoka shinyanga kwenda dar
Ukija kagera pale , ngara kuna cobalt, nickel kutoka kabanga, kuna tin
Niendeleee
Shida si wakenya na wachina walikuwa wakiiba copper wires kwenye mifumo ya reli mapaka walipokamatwa.Mzungu akisemaga Tanzania have best trains in Africa and they are Electric. Mkenya kitu cha kwanza kujibu kwa kukoment kuwa ( hukwama msituni, they want to replace with diesel, they don't have enough Electricity etc)
Hiv mara ya mwisho hiz trains kupata shida ni lin wadau, maana ni kitambo kweli
hiyo oil haijaanza commercial production bado. oil ya neighbours ndio inakuwa counted kama exports kisa tuu imepitia mombasa port. Na hata kwenye mahesabu yao utaona exports of oil to Uganda and the rest.Kenya kuna madini na Oil huko Turkana ila yanachimbwa kimagendo.