Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Neno factory lisikuzubaishe kijana hiyo bado ni food processing tuu. Ila nikichukua avocado iliyokuwa processed nikaitumia kama ingredient + other ingredients nikatengeneza cosmetics hiyo ni manufacturing.
Don't you know food processing is also part of manufacturing. Ama hukua unajua?
 
Food processing sio manufacturing wewe kima. Manufacturing ni reserve ya industrial goods.
Kwa hivyo Azam juice is not a manufactured product? 🤣 🤣 🤣 Enyewe elimu ya bongoslum ina shida. Umesema manufacturing ni ya industrial goods pekee. Unaelewa maana ya industrial goods ama unaongea tu fwaaaa.
 
value addition to mono food product still is not manufacturing kichwa imekuwa mtungi wa kuhifadhia kamasi ama?
Manufacturing can be a component of value addition, kama hujui kitu ni heri unyamaze. Value addition is a very broad term.
 
Yani bongolala wanadhani manufacturing ni kutengeneza vitu ambavo havikuliki pekee. 🤣 🤣 🤣 Naishaaaaaa, eti food processing is not manufacturing. 🤣 🤣 🤣
 
Yani bongolala wanadhani manufacturing ni kutengeneza vitu ambavo havikuliki pekee. 🤣 🤣 🤣 Naishaaaaaa, eti food processing is not manufacturing. 🤣 🤣 🤣
Ebu tuambie kwenye epz zenu kuna manufacturing ya services, maana tunaona mtoa huduma yupo kwa epz na anafanya services na huku ulituambia epz ni kwa ajili ya manufacturing tuuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwa hivyo Azam juice is not a manufactured product? 🤣 🤣 🤣 Enyewe elimu ya bongoslum ina shida. Umesema manufacturing ni ya industrial goods pekee. Unaelewa maana ya industrial goods ama unaongea tu fwaaaa.
In Azam juice there is more than one ingredient hiyo ni manufacturing lakini rice and flour hell noooooooo
 
weka hapa manufactured rice tucheke kidogo.
Ajabu tukija kwenye taarifa zao exports unakuta agricultural products hawaziunganishi kwenye manufactured goods.
Tulitegemea cocoa iwe kwenye manufactured goods badala ya kuiweka kwenye agr products maana huwa Ina banguliwa kabla ya kusafirishwa.
Au na cocoa iliyobanguliwa ni manufactured product🤣🤣🤣🤣
 
Wazee wa remitansi. By the way a big chunk of their remitansi comes from TZ🤣🤣🤣
 
Ebu tuambie kwenye epz zenu kuna manufacturing ya services, maana tunaona mtoa huduma yupo kwa epz na anafanya services na huku ulituambia epz ni kwa ajili ya manufacturing tuuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3380604
I clearly said most of exported products from our EPZ are manufactured goods.

Yani imeandikwa tu vizuri they do logistics and engineering services lakini bado unajifanya pumbavu.
Hua nafurahia sana niki expose ujinga wako. 🤣 🤣 🤣

Projects zao ziko kwa the same website umetoa screenshot but kama kawaida you are too lazy to read ju hampendi kusoma.

 
Tulikuambia epz SI lazima iwe ni kwa ajili ya manufacturing tu ukazid kung'ang'ania kuwa epz kwa ajili ya production tu na bado ukatuwekea mpaka total sale za epz ambayo hukutofautisha kati ya services na production
Umeona sasa ulivyo kilaza umejiabisha mwenyewe
 


I clearly said MOST.
 
I clearly said MOST.
Ulipoweka figure ya over 1bil hukutofautisha na tulipokuambia kuwa hiyo figure ime include na service ulipinga ? Haya tupe total figure ya manufactured goods from Kenya kwa mwaka 2024 🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa hiyo unakubali kuwa epz sio lazima ziwe zina manufacture goods tu? 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…