Ukweli mchungu baada ya miaka kadhaa utalii wa Kenya utadhoofu sana na kusurvive kwake kutategemea huruma ya Serikali ya Tanzania.
Ukweli mchungu baada ya miaka kadhaa utalii wa Kenya utadhoofu sana na kusurvive kwake kutategemea huruma ya Serikali ya Tanzania.
Situmii face book I can’t see nothing. Thank you.Sama boy 255 mbona unalalamika?
4.5M views · 59K reactions | Eti haki yangu @top fans | Mr Mbalamwezi
Eti haki yangu @top fanswww.facebook.com
Naona unapigania haki yako.Situmii face book I can’t see nothing. Thank you.
Huyu mbona ni wewe kabisa.? 🤣🤣🤣
Yo!!.. you crossed the red line with this one 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ila Kenya na probox za miaka 1990s! Check zilivyojaa Barabarani. Hadi police car ni proboxHakuna kitu inaumiza watanzania kama hii Talanta.
Today I met these beast taking materials for roofing pale Talanta, they were more than 20 though i started recording after I have passed some behind.
View attachment 3371760View attachment 3371762View attachment 3371763
Huku ndo NairobiWalker alisema hakuna lami na ni mashamba ya mihogo,😂😂. Ila wakenya
Tuongeze hoteli Arusha jiji limefunguka ukiacha mradi wa MKICC tunahitaji hoteli kama tano za 4 n 5 star za vyumba 150-300 soon! Sasa hivi Arusha-Nairobi flghts za kumwaga na flightlink inaanzisha more routes za kwenda nje ya nchi kutoka Arusha airport! Nina uhakika wakina Precision, Auric na Air Tanzania wata-follow the lead!Facilities of these caliber huwezi patana nazo kwenye zile vijiji za kunyan wanazoita cities. Arusha. View attachment 3372253View attachment 3372250View attachment 3372251View attachment 3372252View attachment 3372254