Ni services gani unaona hapa? Mbona hakuna tourism hapa kama one of the top earners?Kwanini huweki link hapa . At umesema hakuna service exports hiki nini?
Maelezo hayo hapo
View attachment 3368685
Hapo umewekewa top 5 exports sio total exports by product , ungekuwa wa maana ungeweka zote, total ya hizo top 5 ni 518.2 badala ya 1,112. Trillion. Elewa maana ya the best top five exportsNi services gani unaona hapa? Mbona hakuna tourism hapa kama one of the top earners?
View attachment 3368693
A country of modern airports and transport systems in EA😁
Kwa hivyo hakuna any services that can make hio top 5. Do you know how much we get from remittance and tourism?Hapo umewekewa top 5 exports sio total exports by product , ungekuwa wa maana ungeweka zote, total ya hizo top 5 ni 518.2 badala ya 1,112. Trillion. Elewa maana ya the best top five exports
Yes; but unfortunately I don't think they fathom the real impact of setting the car ablaze😎Then is a serious mental problem among the youth in Kenya
SGR ndio inachangamsha Dodoma maana ni 3hrs away from Dar hence frequency ya watu kwenda na kurudi between Dar and Dom imerahisishwa unaweza ukaamka Dar ukaenda kula bata Dom na kurudi siku hiyohiyo 😁Hii dodoma litakuja kuwa jijI la mfano hapa east afrika sidhani hata kigali itaona ndani kwasasa inabidi wavutie wawekezaji sehemu na starehe na bata
Ungeziweka hapaKwa hivyo hakuna any services that can make hio top 5. Do you know how much we get from remittance and tourism?
Remittances sio exports buana wewe wa wapi🤣🤣🤣🤣Kwa hivyo hakuna any services that can make hio top 5. Do you know how much we get from remittance and tourism?
Interchanges za Dom zitakuwa bomba sana
It's not export of labour right?Remittances sio exports buana wewe wa wapi🤣🤣🤣🤣
Weka figure na link sio maneno
While remittances can have a significant impact on a country's economy, particularly in developing nations, by increasing the availability of foreign currency and potentially boosting investment and consumption, they are not categorized as exports.
Kwahiyo watu wenu wamekuwa commodities?It's not export of labour right?
The longest BRT network in Africa itakuwa Dodoma bila shaka
Heshimu miaka yako we mzee.Kwahiyo watu wenu wamekuwa commodities?
Haya hebu jifunze basi exports ni zipi hapa down. 🤣🤣🤣🤣🤣👇🏾It's not export of labour right?
Remittances ni fund transfer kutokea kwa watu wafanyakazi walioko nje kuja kwenye familia zao .It's not export of labor right?
🤣🤣🤣 hakubali kushindwa huyo. Ila hii yake imekua too much.Kwahiyo watu wenu wamekuwa commodities?
Unaweza kutuwekea corporate tax au income tax inayotokana na remittancesIt's not export of labour right?
Kwa hivyo hio 4.8billion earned from remittances ni guess work ya serikali? Do you know Phillipines is the biggest labour exporter in world pumping more than 12 billion dollars kwa economy. Kwa hivyo serikali yao hawajui hizo figures walitoa wapi?Remittances ni fund transfer kutokea kwa watu wafanyakazi walioko nje kuja kwenye familia zao .
Hakuna sehemu utakuta record yoyote ya mapato na matumizi.
Tunaposema kuuza huduma ni pale ambapo hiyo huduma unaweza hata kuirecord kwenye books of accounts kama earning.
Mfano mtu ambaye anatoa huduma ya hotel kwa watalii lazima, mwisho wa mwaka ataanda taarifa ya mapato yake ambayo yataonesha earning zinazotokana na kuuza vyumba.
Remittances haikidhi kwenye mauzo sababu ni utumaji wa pesa kwenda kwa familia , remittances hailipiwa corporate tax au vat kama vile ntalavyotoa huduma ya chakula kwa hotel.