Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ju unadhani hatuna machine za kufanya dredging? Unadhani dredging hufanywa tu anywhere bila EIA. Nowonder munaongozwa na class 7 dropouts.
Kwahiyo unaweza anzisha ujenzi wowote kwa bahari bila EIA? unataka kutuambia shimoni port imejengwa bila kuwa na EIA? Shule yenu ya wapi nyinyi
 
yaani uganda imewapiku..hadi raha jamani.. we kenya are ready to support uganda..hawa wa south hawajielewi mara wako EA mara SADC..yaani ni vichaa kwa ujumla.. 😁 😁 😁
 
Kwahiyo unaweza anzisha ujenzi wowote kwa bahari bila EIA? unataka kutuambia shimoni port imejengwa bila kuwa na EIA? Shule yenu ya wapi nyinyi
Kwa hivyo according to you walikubali EIA lakini ni machine za dredging ndio wamekosa?
 
yaani uganda imewapiku..hadi raha jamani.. we kenya are ready to support uganda..hawa wa south hawajielewi mara wako EA mara SADC..yaani ni vichaa kwa ujumla.. 😁 😁 😁
View attachment 3367132

Hata Djibouti imewazidi🤣🤣🤣🤣🤣

In 2025, Djibouti's GDP per capita is projected to be $4,340,000. This figure is based on current prices and is equivalent to 4.34 thousand U.S. dollars. Additionally, Djibouti's GNI per capita (current LCU) was reported at 617,588 LCU in 2023, according to the World Bank.
 
Kwa hivyo according to you walikubali EIA lakini ni machine za dredging ndio wamekosa?
Soma kwanza hiyo EIA yenu uone kwamba hamkuwa na uwezo kufanya dredging acha visingizio halafu kuangalia na kilwa port uone ni sehemu gani ingekuwa affected
 

Attachments

hio ni slam moja zpo nyingi kuna mathare hio ndo balaa, alafu kuna moja inaitwa kawangware hii naijua vizuri maaana kuna dem alikua anakaa uku basi nisiseme sana, alafu kuna sehem inaitwa pipeline hio ndo funga kazi pamoja na mukuru
mukuru ziko 2 sheikh,kuna hiyo anayoishi babu lisilio na marinda mwaiofhawaii na kuna nyingine anayoishi mtoto khanga moko Teargas
 
Western Kenya has more buses from Nairobi than to Mombasa.

Common sense, coastal Kenya is touristic, watu wenye pesa hawapandi buses! Or trains!
Iyo ni ya mafukara na middle classs though luxury buses.


Ndio maana TANZANIA DOMESTIC air traffic ni UPUUUUZI.
Most people ni maskini, from mwanza Hadi dar lazma watumie buses. POVERTY.
 
Soma kwanza hiyo EIA yenu uone kwamba hamkuwa na uwezo kufanya dredging acha visingizio halafu kuangalia na kilwa port uone ni sehemu gani ingekuwa affected
Wewe ndio unajua Kenya kutuliko.

 
Hatujali bora ugandawamewapita zote tutatau uko mbele..mean while our main focus ni kuwapita..
 
Maji na mafuta yameanza kujitenga
Heheheeeee kumbe hawa wanusa gundi si lolote si chochote kwa Tanzania katika kila sector, nmemuuliza chatGPT ya 2024/2025 pia tuliwaacha mbali 👇👇👇
View attachment 3366859
 
Will Tazara railways be electrified?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…