The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Wewe huwa una hasira sn, kwn unaishi wapi wewe?Ata baada ya kumjibu utamuona na the same same question 3 months from now.
Fala sana
Uchawa ulianzia Kenya.Kwani ukisema tu Hon. William Samoei Ruto, President of Republic of Kenya kuna shida?
View attachment 3365603
De gea yupo ungujaHaya mambo yanawaumba sana wakenya
View attachment 3365010
View: https://x.com/urtupdates/status/1932874906489823641
Na ndiyo wenye electric train so far in East and Central Africa.alafu wanachi wenye wanawataliwa ndio hawa 👇 👇 👇.. 😁😁😁😁
View attachment 3365963
cheki mamtoni ukuKama mamtoni mwanangu 😘 😘 😍 😍 🇹🇿 🇹🇿 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Nyie free education imewashinda!Sahii ndio mumeona umuhimu wa free education, nchi ya primary school dropouts.
alafu wanachi wenye wanawataliwa ndio hawa 👇 👇 👇.. 😁😁😁😁
View attachment 3365963
Akijibu kwa hoja nistue haahaaaHizo challenge za watoto. Tanzania ilishatoka huko. Sasa hivi tunaongelea Investment. Je, upo tayari kuwa mtu mzima sasa ili tujadili?
Liwatoni kwani port ya kulima mahindi? Kwanza mmetuiga kwa hiyo pia.Wakundustan kila tunachofanyaga eti tunawaiga,
Mna any fishing port hata ya kuvua vyura? Tanzania ni pioneer wa mambo chungumzima region hii, jiandaeni kula packed fish yenye proudly Tanzanian mark
View attachment 3365664View attachment 3365665View attachment 3365666View attachment 3365667
Kichaka kimeungua hamna pa kujificha tena haahaaHizi ni mbaya bhana. , Dodoma and Ungaja city them building their interchanges, no sooner they are gonna be opened. Hichi kichaka unachojificha tunakichoma. 🤣🤣🤣 👇🏾 this one for Unguja View attachment 3364794View attachment 3364792this one for dodoma 👇🏾View attachment 3364854nyingine 👇🏾View attachment 3364857View attachment 3364859.. vipi una jingine. 🤣🤣🤣
Vichaka vyao vyote tumevichomaKichaka kimeungua hamna pa kujificha tena haahaa
Hawa jamaa ni jirani wa ajabu Sana tunaiahi nap Hawa.Vichaka vyao vyote tumevichoma