Tpdc and Tpa should lead the way .Baadhi ya Mashirika na Makampuni yaliyotoa Dividend leo
Twiga Minerals = Tsh 99B
Airtel Tanzaia = Tsh 73.9B
NMB = Tsh 68.1B
PUMA = Tsh 13.5B
TPDC Tsh 11.7B
NBC Tsh 10.5B
TPA = Tsh 181.5B
NIDA = Tsh 38.8B
TFS = Tsh 29.8B
BRELA = Tsh 20.4B
TCRA = Tsh 19.2B
TASAC = TSh 16.3B
OSHA = Tsh 10.4B
Ukubwa wa Sinza ni kama Nairobi CBD changanya kilimani, South B,C, Langata na wesltlands kwa pamojaSema umeumia bhn kwa kupewa angle ambayo hukuwahi kuiona be honest Mr. Vlogger. Tulisema humu Dar ni kubwa na picha zake nyingi bado hatujapost🤣🤣🤣🤣🤣
Umia vizuri na sinza hapa 👇👇👇
View attachment 3363932View attachment 3363933
Courtesy Sama boy 255
Kili fair Arusha. 👇🏾View attachment 3363771View attachment 3363773
leta evidence kuna mtu alisema hayo!Asante Kwa Render
Huu uwanja hautajengwa
Hakuna uwanja wa 60k unaezajengwa kwa miezi 18, Ruto anawadanganya
Huu uwanja hautatoka Kama render
Uwanja unajengwa Ki jua Kali
Someone else to add what these idiots said about Talanta.
Hakuna mtu amesema wasomali waliokuwa Kenya, sio Wakenya. Kwa unafikiri hatujui kwamba kuna wasomali wa asili kabisa huko Garissa na Wajir!?Yet Wasomali wenye wameishi Kenya hata kabla your forefathers waje Tanzania mnasema sio Wakenya sivyo?
Hata Stamico sasa hivi wana hela sanaTpdc and Tpa should lead the way .
TPDC is underperforming au punching below its weight .
Ila wasomali ni wakenya?Mtu kazaliwa Singida Tanzania halafu yeye kwa sababu ya wivu wake anasema sio Mtanzania. 😂😂😂
Hizi kondoo ubaguzi na ukabila ni maisha yao ya kila siku.
Uko sahihi zezeta, pia dunia imeona hivyo., fukara ni fukara hehehe..,Kama Arusha tuu
Unabonga as if Kenya's GDP has been higher than TZ foreverWhen our currency dropped to Ksh 168 against the dollar and our GDP dropped to $104 billion hamkutupita. Sahii pesa yenu ya madafu inaendelea kuporomoka hadi mumeban the use of foreign currency lakini bado inaendelea kuanguka. Kwenu kuna chomeka lakini umekazana kuweka mapua pasipokuhusu.
Yes. Because they are within Kenyan borders. Somali counties makes almost 1/4 of Kenya by land mass. Wewe Ebu tuonyeshe clan ya Mo dweji, ebu tuambie ni wapi in Tanzania tUkienda tutapata people like more dweji in thousands or millions. Just show us that region.Ila wasomali ni wakenya?
Vile Tuliwapita 2002 hadi saa hii huwa mna soma number tu.Unabonga as if Kenya's GDP has been higher than TZ forever
Mimi na nani nimesema hivo?Yet Wasomali wenye wameishi Kenya hata kabla your forefathers waje Tanzania mnasema sio Wakenya sivyo?
Mo na Rostam sio watanzania.Mimi na nani nimesema hivo?
Na hata huyo aliyesema hivo nakumbuka ilitokana na nyie wakunya kuanza kusema kina Mo na Rostam sio Watanzania.
Mna ubaguzi wa kipuuzi na kishamba.
Sisi hatuna mashindano ya GDP, mkitaka andikeni kabisa $200bVile Tuliwapita 2002 hadi saa hii huwa mna soma number tu.
Basi Mbona mnaumia na GDP yetu? Vile mlireduce gap 2yrs back Mbona mlisherekea? Mnatamani kuwa na GDP kubwa kuliko Kenya lakini uwezo ndio hamna.Sisi hatuna mashindano ya GDP, mkitaka andikeni kabisa $200b
Leta hapa sherehe.Basi Mbona mnaumia na GDP yetu? Vile mlireduce gap 2yrs back Mbona mlisherekea? Mnatamani kuwa na GDP kubwa kuliko Kenya lakini uwezo ndio hamna.
Hadi mlisherekea kupanda up to Lower middle income economy.Leta hapa hapa sherehe.
Kwa akili yako, unadhani tukitaka kuwapita kirahisi tu, hatuwezi