Mbona kama umepanic?Akili ya mtanzania ni kama imejaa uji, so wewe unafikiria eti Kenya imeshindwa kulisha huyu mzee ama ni jukumu lake mwenyewe na watu wa ukoo wake? ameshindwa kujimudu, kwa vile ni Mzee and a widower(alie fiwa na mkewe), anaenda kuokota mabaki ya mahindi kwa Airstrip ya Taveta(kiwanja ndege), umaskini wa mtu binafsi, so serikali iwatafutie Kisha iwapikie na iwalishe, idiots🤣🤣🤣🤣., the fact that anaokota imported maize shows uwezo wa Kenya kununua, watu wa ukoo wake wako wapi?.., mbona wasishughulikie wazee wao? Kwani Kuna jambo mbaya alifanyia watoto wake ili wamwache ahangaike peke yake uzeeni? ama hana watoto na wajukuu?..,
Kwa hizi fikra zako, ebu nielezee hawa👇👇👇 watoto wavalishwe na serikali ya Tanzania eti? ama ni mujibu wa wazazi, jamii yao, haswa watu wa ukoo wao?., so Tanzania ni fukara haiwezi kuvalisha watoto wa shule? Kwa huu👇👇 ufukara tulaumu nani?., nielezee wewe..,
View attachment 3363176
So kwa fikra zako utasema serikali ya Tanzania imeshindwa kuwavalisha watoto wao eti? Stupidity, ability to comprehend a situation mko zero karibia nyote,🤣🤣🤣🤣🤣
Na hawa👇👇👇 je? Tulaumu serikali ya Tanzania, Watanzania(jamii na ukoo) ama mtu binafsi??., tunajua Tanzania ni taifa yenye misingi ya Ujamaa, hawa imekuaje?.., mbona sioni wakenya wakienda kuomba omba mitaani Tanzania?
Tulaumu nani? Ufukara wa Tanzania,(uchumi hafifu), ama jamii na ukoo ya hawa👇👇 watu?
View attachment 3363178
View attachment 3363179
View attachment 3363180
View attachment 3363182
View attachment 3363183
View attachment 3363184
View attachment 3363185
Sasa unakwepa na reason uchwara.., same newspaper ndio ina report your cases(Kuna The Citizen hapo, na Nation for your case).., so jibu swali, in both Kenya and Tanzanian cases, tutalaumi nani?.., serikali, jamii(haswa ukoo ya mafukara), ama tulaumu watu binafsi?., na utoe sababu....,Source from Mama Ngina News
11. Kuna section ya Mandela ( Tazara Hadi Buguruni)6 lanes roads in Dar
1. Nyerere Rd
2.Ali Hassan Mwinyi
3. Kilwa Rd
4. Morogoro Rd
5. Bibi Titi Rd
6. Nkrumah Rd
7. Karume Rd
8. Sam Nujoma Rd
9. Bagamoyo Rd
10. Kawawa Rd and counting
99% ya NewsPapers ulizoweka ni za Kenya. We all know how much Kenyans hate Tanzania.Sasa unakwepa na reason uchwara.., same newspaper ndio ina report your cases(Kuna The Citizen hapo, na Nation for your case).., so jibu swali, in both Kenya and Tanzanian cases, tutalaumi nani?.., serikali, jamii(haswa ukoo ya mafukara), ama tulaumu watu binafsi?., na utoe sababu....,
Good question.Why dont you deport them?
And what your " tuko nafuu kuliko Kenya" mentality solved?.., hadi mafukara wanakimbia nchi wanaenda nchi jirani🤣🤣🤣🤣., ukiona panya ya sewage inatembea nje, on top of the ground jua nyumbani hakukaliki., ndio hawa sasa., dhibitisho kwao kubaya zaidi
Unajitetea eti?.., na Kuna video evidence 🤣🤣🤣🤣.., jibu swali, tulaumu nani? The Citizen newspaper 👆👆 inachapishwa na waandishi wa Tanzania, editor ni Mtanzania.., so??99% ya NewsPapers ulizoweka ni za Kenya. We all know how much Kenyans hate Tanzania.
Huo ni mfano tu majority yenu mnavoishi, huyo mfano wa mtu mmoja ila ukienda pale migori wapo wengi Huwa wanaokota hayo mahindi.Akili ya mtanzania ni kama imejaa uji, so wewe unafikiria eti Kenya imeshindwa kulisha huyu mzee ama ni jukumu lake mwenyewe na watu wa ukoo wake? ameshindwa kujimudu, kwa vile ni Mzee and a widower(alie fiwa na mkewe), anaenda kuokota mabaki ya mahindi kwa Airstrip ya Taveta(kiwanja ndege), umaskini wa mtu binafsi, so serikali iwatafutie Kisha iwapikie na iwalishe, idiots🤣🤣🤣🤣., the fact that anaokota imported maize shows uwezo wa Kenya kununua, watu wa ukoo wake wako wapi?.., mbona wasishughulikie wazee wao? Kwani Kuna jambo mbaya alifanyia watoto wake ili wamwache ahangaike peke yake uzeeni? ama hana watoto na wajukuu?..,
Kwa hizi fikra zako, ebu nielezee hawa👇👇👇 watoto wavalishwe na serikali ya Tanzania eti? ama ni mujibu wa wazazi, jamii yao, haswa watu wa ukoo wao?., so Tanzania ni fukara haiwezi kuvalisha watoto wa shule? Kwa huu👇👇 ufukara tulaumu nani?., nielezee wewe..,
View attachment 3363176
So kwa fikra zako utasema serikali ya Tanzania imeshindwa kuwavalisha watoto wao eti? Stupidity, ability to comprehend a situation mko zero karibia nyote,🤣🤣🤣🤣🤣
Na hawa👇👇👇 je? Tulaumu serikali ya Tanzania, Watanzania(jamii na ukoo) ama mtu binafsi??., tunajua Tanzania ni taifa yenye misingi ya Ujamaa, hawa imekuaje?.., mbona sioni wakenya wakienda kuomba omba mitaani Tanzania?
Tulaumu nani? Ufukara wa Tanzania,(uchumi hafifu), ama jamii na ukoo ya hawa👇👇 watu?
View attachment 3363178
Sisi hatuna roho mbaya kama nyinyi, hatusumbui mtu mwenye shida, tunatoa huruma, but pia wamekua deported sio mara moja, ila wanarudi..,Good question.
Nyinyi ni watu wa drama buana depot them muone kama , italeta ugomvi .Sasa unakwepa na reason uchwara.., same newspaper ndio ina report your cases(Kuna The Citizen hapo, na Nation for your case).., so jibu swali, in both Kenya and Tanzanian cases, tutalaumi nani?.., serikali, jamii(haswa ukoo ya mafukara), ama tulaumu watu binafsi?., na utoe sababu....,
Sio kwamba hamna roho mbaya ,sema mko weak , kwanini mnashindwa kuwafukuza kama sio raia wenu. Umeona tulichokifanya kwa mkenya mwenzenu alipokuja kuleta ujinga tz. Tunatenda na wala hatuongei kimya kimya tuSisi hatuna roho mbaya kama nyinyi, hatusumbui mtu mwenye shida, tunatoa huruma, but pia wamekua deported sio mara moja, ila wanarudi..,
Hapa gazeti lenyu kinaonyesha that were arrested, wengi wakiingia Makueni(Ukambaani penye ukame mkali wakati wa kiangazi, na bado omba omba wanaenda kule), na wengine Migori., karibu na Isbania border ya Kenya na Tz.., jiangalieni., nasisitiza tulaumu nani??
View attachment 3363240
Huwa huna kazi ya kufanya! Huu muda unaotumia kuandika hizi pumba zote ndefu unautoa wapi, angalau hata ungekuwa unaandika vitu vya maana inge make sense.Sisi hatuna roho mbaya kama nyinyi, hatusumbui mtu mwenye shida, tunatoa huruma, but pia wamekua deported sio mara moja, ila wanarudi..,
Hapa gazeti lenyu kinaonyesha that were arrested, wengi wakiingia Makueni(Ukambaani penye ukame mkali wakati wa kiangazi, na bado omba omba wanaenda kule), na wengine Migori., karibu na Isbania border ya Kenya na Tz.., jiangalieni., nasisitiza tulaumu nani??
View attachment 3363240
Eti wanashindwa kuwadepot wanaogopa tutafunga mipaka wakose hela ya mahindiHuwa huna kazi ya kufanya! Huu muda unaotumia kuandika hizi pumba zote ndefu unautoa wapi, angalau hata ungekuwa unaandika vitu vya maana inge make sense.
Hii mipasho ondoa hapa.
Kama ni Watanzania ni muwarudishe.
Yaani watu wenu wakiomba omba mitaani mnawaita ati ni Watanzania.
Sikulaumu, ni uwezo wako mdogo wa kufikiri ndo unaleta yote hayo.
Sisi huku kwenye magereza ya Tanzania tumejaza majambazi kutoka ukunyani failed state.
Omba omba ametoa wapi passport, pasi ya kusafiria na nauli!Eti wanashindwa kuwadepot wanaogopa tutafunga mipaka wakose hela ya mahindi
Sasa unadanganya wewe, yaani unajibu kishabiki kujiliwaza, mbwa 🤣🤣🤣🤣🤣Huo ni mfano tu majority yenu mnavoishi, huyo mfano wa mtu mmoja ila ukienda pale migori wapo wengi Huwa wanaokota hayo mahindi.
Kwa Tanzania wazee kama hao wanaprogram Moja ya tasaf kwa ajili yao , pamoja na kuwa inakuwa inawapa pesa Kila mwez ila wafundishwa kaz ndogondogo kwa ajili ya kujikimu. Ila kufikia hatua ya kuokota hii mmetia fora
Mchezo huuu hatuhitaji hasira, hizo ni dalili ya mtu mwenye stress na hofu
Hiyo ni human trafficking huwez sema watanzania wanaomba ovyo wakati Tanzania hawapo na kiwango mnachohubiri.
Inaonesha vyombo vyenu vya Sheria ni incompetent inakuwaje mtu aje kufanya kazi ya uombaji Tena sio mkenya mkamuacha kama sio propaganda 🤣🤣🤣🤣
Fukuzeni tuone wataenda wapi
Wanarudishwa Kisha wengi kutokea vijijini wanaendelea kuingia Kenya.., mko hovyo, mafukara wanawakimbia🤣🤣🤣, sio makosa mnatajwa miongoni mwa mataifa yenye watu wengi mafukara wa kutupwa 🤣🤣🤣🤣.,Eti wanashindwa kuwadepot wanaogopa tutafunga mipaka wakose hela ya mahindi
Haha Mimi nilijua wako uchi kumbe ni watoto ambao wametoka zao kucheza . Kwa kuangalia tu walivyo pamoja na kuwa na vumbi ila Wana afya njema,ukizoom miguuu Haina jiggers linganisha na wenu sasaSasa unadanganya wewe, yaani unajibu kishabiki kujiliwaza, mbwa 🤣🤣🤣🤣🤣
!!! unajaribu kukwepa swali?.., utalaumu nani kwa huu👇👇 ufukara, na ukweli usio fichika yaani aibu ya omba omba??.
View attachment 3363250
View attachment 3363249
View attachment 3363253
Ni akili zenu zilizo duaa ndio tatizo, lazima nguvu nyingi itumike kuwaelimisha., ki fikra wengi mko hovyo., too obvious!🤣🤣🤣Huwa huna kazi ya kufanya! Huu muda unaotumia kuandika hizi pumba zote ndefu unautoa wapi, angalau hata ungekuwa unaandika vitu vya maana inge make sense.
Hii mipasho ondoa hapa.
Kama ni Watanzania si muwarudishe.
Yaani watu wenu wakiomba omba mitaani mnawaita ati ni Watanzania.
Sikulaumu, ni uwezo wako mdogo wa kufikiri ndo unaleta yote hayo.
Sisi huku kwenye magereza ya Tanzania tumejaza majambazi kutoka ukunyani failed state.
Kwa hiyo unakubali kuwa askari wenu ni weak ? Yaan mnashindwa kucontrol ombaomba tu mtaweza Kweli kushindana na jiggersWanarudishwa Kisha wengi kutokea vijijini wanaendelea kuingia Kenya.., mko hovyo, mafukara wanawakimbia🤣🤣🤣, sio makosa mnatajwa miongoni mwa mataifa yenye watu wengi mafukara wa kutupwa 🤣🤣🤣🤣.,
View attachment 3363260
From WB poverty Index report., ground inadhibitisha kwa kishindo.., 🤣🤣🤣
So tulaumu nani?.., kwa matatizo ya ufukara, omba omba, jiggers, etc, Kenya na Tanzania ni nani wa kulaumiwa?.., hapa ndio unakwepa.., kwa mafukara wa kutupwa walio wengi Tanzania tulaumu nani??.,Haha Mimi nilijua wako uchi kumbe ni watoto ambao wametoka zao kucheza . Kwa kuangalia tu walivyo pamoja na kuwa na vumbi ila Wana afya njema,ukizoom miguuu Haina jiggers linganisha na wenu sasa
Hivi kwa akili ya yako wakenya wako na elimu kweli? Mwenye elimu hashindwi kuzalisha chakula, mwenye elimu hawez endesha nchi kwa k recurrent budget ya over 70%Ni akili zenu zilizo duaa ndio tatizo, lazima nguvu nyingi itumike kuwaelimisha., ki fikra wengi mko hovyo., too obvious!🤣🤣🤣