"Mtawala, ama Rais ama Waziri akifanya dhambi lazima ajulishwe kwamba wewe hapa umepotoka, wewe hapa umekengeuka".TRIBALISM IN THE KENYAN WORKPLACE
JamiiForums.com, 80% ya discussions is on this topic.
Hii nmeuliza kiroho safi nataka kujua tuu tatzo lilianzia wapi...hope watanijibu meuliza sio kwa ubaya ni kutaka kujua tuu ...Wakikujibu please tag me[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sijaelewa hii comment inahusianaje na mada"Mtawala, ama Rais ama Waziri akifanya dhambi lazima ajulishwe kwamba wewe hapa umepotoka, wewe hapa umekengeuka".
"Nimewaambia waandishi wa habari kwamba, kazi niliyopewa mimi ni kuwajulisha watu dhambi zao. Mtawala akikengeuka, Kakobe anamwambia hapa umekengeuka".
"Mimi sihitaji Chai ya Ikulu kwa sababu majani ya chai ya Ikulu ni yaleyale ya Mufindi, hayana dhahabu ndani yake".
"Mimi sihitaji hela, nina hela kuliko Serikali, nimewaambia waandishi wa habari hakuna wa kunihonga mimi, wala hakuna wa kunipa hela yoyote, hata Waziri akiwa hana hela aje nitamkopesha".
"Mtawala akifanya dhambi atajulishwa dhambi zake, hapa umekengeuka, hapa sio njia ikupasayo kuiendea, njia ikupasayo kuiendea ni hii".
"Na kwa sababu hiyo, nilitangazwa rasmi kufutwa mara mbili, lakini Mungu anasema, tazama nitatenda kazi naye ni nani awezaye kuizuia".
Ulevii wa asubuhi asubuhiSijaelewa hii comment inahusianaje na mada
Anyway alielewa ani tag
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Au ndio vyuma vimefanya yakeUlevii wa asubuhi asubuhi
Hao kenya vyuma mbona vmekazaga miaka yote kwao yaan wana tabu hawa ndugu zetu bora tuwe tunawafariji humu maana stress full tym[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Au ndio vyuma vimefanya yake
Kamwe hawatojibu, kwasababu wakifanya hivyo ni sawa na kujivua nguo wao wenyewe, zaidi ya ujinga na ubaguzi walionao wakenya, hakuna sababu ya maana iliyosababisha ugomvi na kufikia kuchukiana kiasi hicho.Hii nmeuliza kiroho safi nataka kujua tuu tatzo lilianzia wapi...hope watanijibu meuliza sio kwa ubaya ni kutaka kujua tuu ...
Kutakua na sababu maana mbona makabila mengne fresh tuu hawa wawili tatzo lilianzia wapi ????Kamwe hawatojibu, kwasababu wakifanya hivyo ni sawa na kujivua nguo wao wenyewe, zaidi ya ujinga na ubaguzi walionao wakenya, hakuna sababu ya maana iliyosababisha ugomvi na kufikia kuchukiana kiasi hicho.
Iko wapi 35 Building?WESTLANDSView attachment 661582 View attachment 661583 View attachment 661584 View attachment 661585 View attachment 661590 View attachment 661593 View attachment 661594 View attachment 661596 View attachment 661598 View attachment 661599 View attachment 661600 View attachment 661601 View attachment 661602 View attachment 661603 View attachment 661604
nadhani una bundlestuoneshe tafadhali😀😀😀😀😀😀😀
hapo ni westlands...times tower has 38..AVIC INABUILD 43 HAPO WESTLANDSIko wapi 35 Building?
Images from The Arch Ship in Dar es Salaam by indaressalaam, on Flickr
Images from The Arch Ship in Dar es Salaam by indaressalaam, on Flickr
Images from the Peace Ark Ship in Dar es salaam by indaressalaam, on Flickr
Images from the Peace Ark Ship in Dar es salaam by indaressalaam, on Flickr
Sokoine University ni chuo tegemezi kwa taifa katika kozi za kilimo na ndio chuo kikuu pekee kindachotambulika kimataifa kutoka Tanzania katika masuala ya kilimo! Kinyume chake ni pale utapotenbelea mazingura ya chuo kuna miundominu duni sana hasa majengo!! Ukifika SUA utadhani upo Shule ya msingi au secondary yaan haifananii Kabisa na chuo Kikuu.kuna nn hasa hadi serekali kukitelekeza chuo hiki kikongwe?!Sijaelewa hii comment inahusianaje na mada
Anyway alielewa ani tag
Hakuna cha ufresh wowote, hao unawasikia kwa sababu wanawania nafasi ya Urais, lakini huko maofisini ndiko ukabila ulikotamalaki, soma hiyo article niliyoiweka kutoka JamiiForums.com uone kila kabila linavyoteseka..Kutakua na sababu maana mbona makabila mengne fresh tuu hawa wawili tatzo lilianzia wapi ????
😀😀😀😀😀😀 pole sana endelea kutuonesha minaranadhani una bundles
Ameshachanganyikiwa huyu, discussion imekua hot, ameamua kuvuruga huu mjadala kwa kushindwa kubaki katika mada kuu, endeleeni kumpuuza hadi atakaporudi katika mada kuu.Sijaelewa hii comment inahusianaje na mada
Anyway alielewa ani tag
Kutakua na sababu maana mbona makabila mengne fresh tuu hawa wawili tatzo lilianzia wapi ????
LICHA ya kutokiri moja kwa moja juu ya taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu kumkamata Askofu Zakaria Kakobe wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGFC) lililoko Mwenge jijini Dar es Salaam, Jeshi la Polisi limesema ni lazima litamhoji kiongozi huyo wa kiroho.😀😀😀😀😀😀 pole sana endelea kutuonesha minara
hvi huu jamaa munamuelewa???😀😀😀😀😀😀😀😀 au ndo tarehe imesomaLICHA ya kutokiri moja kwa moja juu ya taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu kumkamata Askofu Zakaria Kakobe wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGFC) lililoko Mwenge jijini Dar es Salaam, Jeshi la Polisi limesema ni lazima litamhoji kiongozi huyo wa kiroho.
Kuhojiwa huko kumetokana na kauli yake dhidi ya serikali aliyoitoa wakati wa ibada ya Krismasi.
Jana, kulienea taarifa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kueleza kwamba askofu huyo alitiwa mbaroni jana asubuhi na askari wa Jeshi la Polisi huku sababu za kukamatwa zikielezwa kuwa ni ujumbe alioutoa wakati wa mahubiri yake ya ibada ya Krismasi.
Akizungumza na Nipashe jana kuhusiana na ukweli wa taarifa za kutiwa mbaroni kwa Askofu Kakobe, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, alisema kuwa ni kweli walishakuwa katika harakati za kumkamata.
"Ametoa maneno ya kashfa katika mahubiri yake, lakini sina taarifa kama amekamatwa," Kamanda Mambosasa alisema na kuongeza:
"Taarifa za kumkamata zipo, lazima tumkamate. Tutamhoji…tutamhoji alikuwa na maana gani.“Mtu akitenda kosa la jinai ni lazima akamatwe…kwa sasa niko msibani, sijapokea taarifa kama amekamatwa au kuhojiwa. Nitawaarifu kama kutakuwa na taarifa zaidi.”
Hata hivyo, hadi Nipashe ikienda mitamboni hakukuwa na taarifa zozote rasmi kuhusiana na kukamatwa kwa Kakobe.
Awali, Nipashe ilimuuliza Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Jumanne Muliro, ambaye pia alidai hakuwa na taarifa za kukamatwa kwa askofu huyo.
Askofu Kakobe (62), anadaiwa kuyatumia mahubiri yake siku hiyo kuzungumzia mwenendo wa serikali na masuala mbalimbali ya kisiasa nchini.
Mojawapo ya sauti inayodaiwa kuwa ya Askofu Kakobe na kusambaa kwenye mitandao ya kijamii ilidai kwamba hivi sasa Tanzania si nchi ya chama kimoja kama viongozi wanavyotaka.
Jana jioni, Nipashe ilifika katika kanisa la Kakobe, Mwenge na kukuta shughuli za kila siku kanisani hapo zikiendelea kama kawaida huku baadhi ya waumini waliokuwapo wakisema hawakuwa na taarifa za kutiwa mbaroni kwa kiongozi wao huyo.
Chanzo: Nipashe
Kabisa nimeona ana low IqAmeshachanganyikiwa huyu, discussion imekua hot, ameamua kuvuruga huu mjadala kwa kushindwa kubaki katika mada kuu, endeleeni kumpuuza hadi atakaporudi katika mada kuu.