Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kigamboni bridge amazes everyone including our bitter neighbours and some visitors from north America.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Fanya hivyo haraka upesi. We need intelligent Tanzanians to join K'talk forum.... Wale madwanzi wako hapa kina Tamko La Vichaa tunawapima tu
intelligent tanzanians tuje JamiiForums.com kushiriki mijadala ya kikabila?.
 
950k alimwaga yote SA kwa hiyo Uchumi wao ulikua na hicho kiwango ilhali Tz ilipoteza zaidi ya kiwango hicho ukiongezea travel expenses na ndege sio zenu. Simple chekechea economics.
Hivi wanamziki wa Tanzania kwa ujumla wamechukua pesa kiasi gani toka Kenya?, mbona hamjilaumu kwa kuwatajirisha Diamond, Kiba, Rayvan, Vanessa Mdee, Chris Brown na Nigerians, mnapoteza billions of Shillings every year zinakuja Bongo through musicians, some of which they spend them in South Africa, hiyo 950K, ameipata Kenya.
 
kiboko wenu ni terminal 3 inakuja very soon mutatafutana humu ndani



na zanzibar terminal 2 inakuja very soon


the construction is near zanzibar international airport control tower
 
Hasa hivi kila kona kuna vita ya maneno Tz Vs Ke
Tunako elekea ni patam sana
Wakenya wameshikwa vibaya hali ni tete


Niulize kitu hiki na mnijuze
Mnipe orodha ya Majengo yenye Ghorofa 40-35

Nairobi mangapi
Dar Mangapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…