Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli kabisa kaka. Yaani Director na Waziri wa uchukuzi Bure kabisa. Yaani mradi mkubwa kama huu ambao ulikua unawapa mapato ya kutosha ni wakuuchezea hivi???! Afu mtu yupo hapa na ukunguni wake kutetea uozo!!?
Shida ilianza walipopewa UDART kuendesha na nyuma ya UDART wako wahusika waliokataa mapendekezo ya WB ya kumpa foreign contractor aendeshe mradi kwa mwaka mmoja ili aweke benchmarks for local contractor lakini sote tunajua Pinda alizumngumza nini kuhusu hayo mapendekezo ya WB bungeni.
 
Peleka matako mbele, tafuta Uzi za siasa ukaongelee huko kama unajiona una akili. Unakuja kuongea humu kuna mkuu wa mkoa humu.? Kuna mkurugenzi humu.? Huu ni Uzi wa malalamiko.? Jinga kweli hili punga
Wewe kweli bwege na akili huna? Kwani tuyaongeaga humu huwa Kuna Viongozi mbona tukisifia ubwati. Fara wewe ku.a kibuyu
 
Kumbe it's deep rooted!! Haya sasa wewe Sama boy 255 umeona wenye akili sasa? Sio wewe kunguni sijui chawa.
 
Shida ni pale viongozi na wasaidizi wa Raisi na watendaji wanapogeuka machawa nani afanye kazi mwisho wa siku wananchi ndiyo tunaumia Raisi anabaki kulalamika kana kwamba hana maamuzi
 
Tumefeli sio kidogo yani kama mwendokasi tunampa mwekezaji kutoka nje siku sio nyingi sgr itatushinda na vile tunasuasua kuifikisha mwanza
Kiongozi kumpa muendeshaji wa nje sio kosa huu ni uchumi huria. Mfano wewe hujawahi ku run mwendokasi ila unalazimisha kuendesha mwendo kasi wakati concept ya mwendokasi huijui ndio maana vitu vingi havikukamilika kwa wakati kama ticketing system, route tracker time display, na mambo mengi ya ufanisi wa uendeshaji. UDART kaendesha mwendokasi wapi pengine duniani au mmeshasahau mwenye UDART ni nani?
 
Tumefeli sio kidogo yani kama mwendokasi tunampa mwekezaji kutoka nje siku sio nyingi sgr itatushinda na vile tunasuasua kuifikisha mwanza

Ni Nani kaka?
 
Kiongozi DART haifanyi biashara ya uendeshaji, DART ni mmiliki wa njia, waendeshaji wanaweza wakawa wengi au zaidi ya mmoa kwenye route moja DART kazi yake ni kupokea tozo toka kwa wanaowekeza buses zao kwenye infrastructure ya DART na pia DART ndio atakuwa mkusanyaj mkuu wa mapato yote na kudistribute kwa wawekezaji based on seat capacity ya kila contractor au travel card use on each bus.

Ila napendekeza tuwe na chombo kingine cha usafiri DSM (Dar es salaam Transport) kitakacho simamia makusanyo yote ya usafiri Dar ikihusiha usafiri wa DART, Pantoon, Train etc. mapato wawekezaji watagawana kwa idadi ya buses, trains na pantoo zitakazokuwa in operation siku husika au kila unapo scan card mtandao unajua abiria kapanda wapi mpaka wapi mfumo wa IT utagawa mapato kutokana na kadi ilivyotumika.
 
Wewe kweli bwege na akili huna? Kwani tuyaongeaga humu huwa Kuna Viongozi mbona tukisifia ubwati. Fara wewe ku.a kibuyu

Kumbe it's deep rooted!! Haya sasa wewe Sama boy 255 umeona wenye akili sasa? Sio wewe kunguni sijui chawa.
Naona watanzania karibu wote humu ni watu wazima na wanajiweza sana tu financially, huenda wengine hawajawahi kupanda kabisa BRTs. They are only proud becoz ni wazalendo na wangependa kuona mambo mazuri kwa taifa lao. Unapodanganya usidhani kama nitakuacha wewe.

BRT ndio inazo changamoto, ila wewe unavyoelezea ni uongo mkubwa. Kwanza muda ambao utapata kukutana na changamoto it is during peak hours asubuhi sana na jioni muda wa kurudi kazini, and that’s normal thing, dunia nzima inaishi hivyo, na ni kweli kwa muda huo huwa mabasi yanazidiwa na kuonekana kuwa hayatishi

Tofauti na hapo BRT ni usafiri mzuri sana kutumia na ni usafiri wa haraka, tofauti ni huu upumbavu unaotueleza hapa 👇🏾

Pili unalalamikia suala la kivukoni kutokua na usafiri wa uhakika. 🤣🤣🤣 huu si ndio upumbavu kabisa. Kwani ni lazima wewe upande ferries za serikali za zamani.? Azam si kila siku anazindua sea tax mpya hapo.? Au ndio nyinyie vilaza wa chadomo, serikali ikiwekeza mnakuja mnalalamika “ooh serikali iwaachie sector binafsi” serikali hiyo hiyo ikiwaachia sector binafsi unakuja tena kulilia “Ooh vivuko vya serikali havipo” 🤣🤣🤣 chadomo mapumbavu kweli.

Sea tax hizi hapa zimezinduliwa juzi kati tu hapo.? 👇🏾

Nakwambia tena, usilete upumbavu humu sio mahala pa propaganda za siasa humu. Behave.
 
Hivi wewe fara, mmbwa usie na akili Sama boy 255 unaleta mdomo wako mchafu hapa. Watu tumestaarabika Ila sio wazembe!! Leta mdomo wako Leo tutapambana K weww
Sasa utaniweza kwa facts we kumbafu.? 🤣🤣🤣 mgeni humu halafu unaleta ujuaji.. Chadomo nyie.

Skiliza bwana Nsato, umeonahapa town.? Mimi nishapanda kila aina ya usafiri unayoijua inapatikana hapa mjini, nazijua faida na changamoto zake, huwezi kudanganya wewe.
Umuoma hizi 👇🏾
Treni (commuter rail)
Daladala
BRT buses
Ferries
Sea taxes
Bolt
Bajajis
Bodabodas

Zote hizi mimi nimetumia, usielezee vitu kwa uongo bhana, usipende kutia chumvi kwenye hakuna. BRT buses zina changamoto ila sio hivyo unavyotuelezea wewe. Ukipata brt bus mida kama hii unateleza tu, hakuna upungufu wa buses wala nini.
 
Ni Nani kaka?
Kina Ridhwani ndio walinunua UDA kwa kupitia Simon Group company kama front. UDA ikapewa uendeshaji wa mradi ndio ikapatikana kampuni inayoitwa UDART. Lakini wahusika walio nyuma ya Ridhwani wanajulikana na hoja ya kulazimisha kuendesha BRT kinyume na mapendekezo ya WB ikalazimishwa kwa nguvu na Pinda Bungeni wakati huo akiwa kama PM.
 
That is a fraction of Kariakoo my friend the video captured only some selected streets.
 
Mapendekezo ya WB yalikuwa nini?
 
Mapendekezo ya WB yalikuwa nini?
iitishwe international tender apatikane mwekezaji mwenye experiance ya kuendesha BRT buses kwa muda maalumu halafu baada ya hapo local companies ziachiwe kuendeleza uendeshaji hii ilikuwa inalenga transfer of knowledge and skills kwa watanzania na tender ya mabasi alikuwa anapewa Mercedes Benz ila wajanja wakajimilikisha mradi WB akakaa pembeni memo ikapelekwa NMB mzigo ukatoka Golden Dragon za mwanzo zikaingia. Mzigo wa pili ulipokuja wakawa wamechelewa Magu kashakalia kiti anataka kodi yake gari zimekaa port zaidi ya mwaka na ushehe mpaka zilipotoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…