Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo hiyo kusoma na kuandika ndiyo imeleta treni ya umeme ambayo hamtakuja kuwa nayo, BRT ambayo hamtakuja kuwa nayo, modern city like dodoma ambayo hamtakuja kuwa nayo, so endeleeni kupiga kelele.
Imagine wabunge wenye wako na bachelor tupu huko kunyarenda wanashindwa maarifa na wabunge wa Tz wale wenye wanajua kusoma na kuandika tu. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Vipi kama tutawaacha wenye bachelor na kuendelea Ndio wawe wabunge .?
 
Mji upo under construction wakuu. ๐Ÿ‘‡๐Ÿพbibi titi Mohammed street Dailinga.. .. hizi hawawezi kuwaonyesha ndugu zao, ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Vijamaa vimetengeneza pavements meter 5, raia wote wameenda kushangaa, YouTubers wote wameenda kuonyesha hako kaeneo ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ kuna wengine wanakwambia โ€œitโ€™s a massive developmentโ€ ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
nikiwa kama mwenyekiti nawapongeza sana vijana wangu munafanya kazi nzuri tulioianzisha humu tukiwa kama waasisi wa hii thread, kweli sasa mumekomaa kwenye tasnia hii na munafanya kazi nzuri sana niwapongeze The best 007 Sama boy 255 Venus Star Fundi kitasa AMARII NDINDA Kosugi coodip1 chongchung jiwe jeusi buffalo44 Geza Ulole ChoiceVariable game over Kosugi etc

endelezeni mazuri na nikiwa kama mwenyekiti nawaunga mkono asilimia 100 na pale ambapo mutahitaji uwepo wangu kwa ajili ya kugonganisha zile gololi za kende zao basi nipo na nitahakikisha wanapigwa ukuni kisawasawa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿค๐Ÿค
 
Mchezo tumeshaumaliza. Ukiona watu wanaanza Cyber-harassment and cyberbullying kwa watu binafsi wa Tanzania ujue hawana cha kushindana tena wanachofanya ni kuichafua Tanzania tu kwenye vyombo vya habari.
Mbaya zaidi vyombo vya habari vya kimataifa vimewakunjia, wamebaki wao tu. Hawana namna wakiendelea na ego yao tutawafungia vioo na sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ