ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,561
- 90,009
Na hili eneo limepimwa ,ni satellite town 👇👇Chuma hiyo apo down. 👇🏾View attachment 3352503View attachment 3352507View attachment 3352504mnuka nnya anatamani kulia. 😆..
yeye alisema Ndio kwanza tunachimba msingi. Amekuja kustuka kumbe uwanja Ndio unaelekea kumaliza. 😂😂.
Kwani Huoni kuna side moja bado mnachimba foundation?Angalia usije ukanya tu, mana ulianza kusema ndio kwanza tunachimba msingi, mara ooh ni 20k seats. Sahii ni takataka. 😆. Usije ukajamba tu. Ugulia polepole.
Usije ukajamba tu, mana umejikaza sana 😆Kwani Huoni kuna side moja bado mnachimba foundation?
Nikazwe na takataka?Usije ukajamba tu, mana umejikaza sana 😆
Usije ukanya tu. 😆Nikazwe na takataka?
2 meter pavements. Tayari you guys mnatuelezea suala la chenges. 🤣🤣🤣
Ati kusom na kuandika!Acha kujipa umuhimu we mnuka mavi. Mtu wa kwanza kubaini ubovu wa elimu wa baadhi ya viongozi ni JPM. Hao wabunge kadhaa wanaendelea kubaki bungeni kwasababu sera ya Tz ili mtu awe mbunge ni kujua kusoma na kuandika tu. Mahali palitiliwa mkazo ni maeneo ya kiutendaji. Na ndio mana sahii tunawakimbiza karibu katika kila sector.. wasomi wamepewa nafasi zao.
Sasa jamaa mbona unampa umaarufu ambao sio wake? Website ya Bunge imetengenezwa na Watanzania. Walioweka hizo Taarifa ni watanzania. Halafu anayekuja kugundua hizo taarifa ni mkenya. Kama siyo ujinga ni nini?Acha kujipa umuhimu we mnuka mavi. Mtu wa kwanza kubaini ubovu wa elimu wa baadhi ya viongozi ni JPM. Hao wabunge kadhaa wanaendelea kubaki bungeni kwasababu sera ya Tz ili mtu awe mbunge ni kujua kusoma na kuandika tu. Mahali palitiliwa mkazo ni maeneo ya kiutendaji. Na ndio mana sahii tunawakimbiza karibu katika kila sector.. wasomi wamepewa nafasi zao.
3/4 ya picha umepiga chini. Na ukubwa wa hapo hauzidi meter 10. Kwikwikwikwi. Angalia zooming utanielewa vizuri.
Karibu sana Mkuu..Port City, Dar es salaam.
Wanataka kuiga affordable housing 😂😂Mradi wa kuondoa Slums kwenye Majiji kuanza.
New msasani 👇👇View attachment 3352514View attachment 3352515