Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
Ata kama utaamua kulia basi we lia tu, ila uwanja unaojengwa hapo down ni huu 👇🏾It's happening ama ni mahame?😂😂View attachment 3351912
Si huwa wanatumia picha ya manifesto ya Uhuru kusema tukiahidiwa bullet train? Kumbe wanajua manifesto na real design Kuna utofauti? 😂Then why are you so sure it will be built just like the image you are sharing while you are aware that is a random illustration 😅
Think man, thiink!
Kwani you just leaned the term manifesto?… you keep throwing it around like it’s your savior. Manifesto is the cousin to political propaganda. It’s other definition is line, hook and sinker..🤣🤣🤣… Good luck , you gonna need it.Hii ni CCM 2025 Election Manifesto, upo na cha kuchangia. Vipi Chama gani cha Siasa huko kenya kinatangaza Manifesto?
Unifariji? Anayejifariji ni weweAta kama utaamua kulia basi we lia tu, ila uwanja unaojengwa hapo down ni huu 👇🏾View attachment 3351914mimi sina cha kukusaidia, na wala sina maneno ya kukufariji 🤣🤣🤣
Ushamba mwingi, kwan ni lazima watu wakae mbali na business area.
Huu ndo USHAMBA ninaoutaja wa kikenya.
Kariakoo ni unique.
Kariakoo buildings baadhi ni mixed use. Kuaccomodate kila mtu. Nyingi floor za juu huwa ni store, airbnbs, hostels, lodges nk.
Which is fine, and that makes Kariakoo kugrow haraka sana due to demand
Hizo ndio zinafanya mnakuaga kama serengeti nyumbu migration, kila Mkundustan ukimuuliza reasons for vacating abroad yenu automatically reason ni cheap beersChecked into bongoslum....the beer is shityy😅😅😅
View attachment 3351983
Sehemu gani?Nairobi haina rika.
This is not Westlands, Kilimani, Upperhill or CBD. Mpwimbe si ulisema unajua Nairobi, hapa ni wapi? 🤣
View attachment 3352070
Kwani tena hujui Nairobi? 🤣🤣Sehemu gani?
Mimi ni mtanzania my brother .. na hayo maendeleo yote ni mpango mkakati wa taifa langu, wewe ndio unaehangaika kupinga.Unifariji? Anayejifariji ni wewe
Hiyo ni aerial view, huwezi jua kama ni kama thika highway au sehemu myingineKwani tena hujui Nairobi? 🤣🤣
I thought yiu said you know Nairobi?🤣🤣Sehemu gani?
Thika road iko mbali sana na hapoHiyo ni aerial view, huwezi jua kama ni kama thika highway au sehemu myingine