President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,634
- 94,258
Kujenga meli ya mizigo kutoka Mtwara kwenda visiwa vya Comoro, nchi ambayo inaitegemea Tanzania kwa bidhaa nyingi muhimu, ikiwamo chakula
Kujenga kiwanda cha ujenzi wa meli chenye uwezo wa kuhimili meli zenye uzito wa tani 5,000 katika Ziwa Tanganyika;
Kukamilisha ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Mwanza na kukipandisha hadhi kuwa cha Kimataifa;
Serikali itajenga Jumba la Sanaa la Kitaifa Dodoma (National Arts Gallery);
Kujenga maktaba ya kisasa ya kitaifa ya muziki na filamu (National Music and Film Dijital Library);
Mwakishi wa chama tawala CPRF Russia amekuja bongo kumwakilisha Putin kwenye mkutano wa CCM. 👇🏾.
View: https://youtu.be/lF_ln5fryz0?si=QLmexw_V3XuV3uDk. Kunyans must know Sisi sio wa mchezo mchezo.
Huu uwanja umefikia wapi?Kiwanja cha ndege Mwanza kuwa cha Kimataifa - Tanzania Moto
Wakenya hawana uhuru wa kuchagua rafiki. Foundation ya Tanzania inafanya mataifa mengi yaiheshimu.Na wao walike chama chochote kile kutoka mataifa yasiyo ya magharibi waone moto wake kitoka kwa mabwana zao
Anatakiwa Makonda aende hapo akasukume watu.Huu uwanja umefikia wapi?
I’m telling you bro. Na hiyo ndio Dar iliyopo kichwani kwangu.Katika eneo kubwa sana la Dar ambalo halijawa exposed humu ni kuanzia Tabata mpaka Mbezi Luis via Goba, Mbezi Luis Mpaka Airport via Kinyerezi, kuna neighborhood Kunyaland wana dream tu lakini siku wakiona hayo maeneo watajua Dar sio level yao, explore with Bertin angefly drone huko hii battle ingefungwa ni replica ya Masaki kabisa mixer Mbweni
View: https://www.instagram.com/p/DKKq_hTMPED/?igsh=ZG80ZWhxYjhiZmVk
Majirani wanachokiweza ni kutukana na kufanya social media bullying and harassment hawana ustaraabu. Na kile walichokifanya kumtukana Rais wetu kita wa cost sana. Nchi nyingi zitajitenga nao.Our own. Tanzanians are blessed with Talents. Kili paul representing Tanzania in India. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DKRurfWp_2I/?igsh=OHRjanJ3MXV3cXN0. Kili paul ni bounge la star huko India. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DKJQN4ePirq/?igsh=cjg5cnlxeGljMWFx. Hili taifa sio la kawaida. Hao majirani zetu wapumbavu ni wapiga kelele tu. 🤣🤣🤣