Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

HIyo ni gharama ya demokrasia, in democracy anyone can be elected.

Ndio maana hata Kenya mlichagua mvuta bange na mtafuna jaba, Salasya.
 

Hivi gari ya balozi inaweza plate number za Tanzania .🤣🤣🤣🤣
Kweli wakenya wajinga sana

Country codes for diplomatic number plates in Kenya

Diplomatic number plates for diplomatic cars in Kenya have distinct red plates with a specific number assigned to a country plus the letters CD.

The number plates were assigned to the countries with embassies in Kenya in the order that they recognized Kenya’s independence. Germany (then West Germany) was the first country to recognize Kenya’s independence so they have the diplomatic plate 1 CD as so forth. UN bodies also have diplomatic plates in Kenya
Huwez weka bendera ya taifa kwenye gari ya private . Mkajifunzege protocally
 

Article lote hili kutetea slums,si ungesummarize tu kama hivi,nani asome liarticle lako!
 
Najua Kariakoo na najua CBD. Wacheni kuficha aibu. Mnaikataa CBD yenu kisa nimefika huko nikawaexpose. Picha ya Kariakoo hii hapa niliichukua.

View attachment 3349997
Kwani CBD ni nini?

Labda utoe ufafanuzi.

Hapo Dar Posta, tunapaita tu CBD lakini watu wanaweza kuishi bila hata kufika hapo.

Zamani watu walienda hapo kwa shughuli za serikali, ambazo kwasasa ziko Dodoma.
 
Wabunge nchini Tanzania siyo watawala ni wawakilishi wa wananchi.
 
Hizo ni sheria za bongoslum. In Kenya bora unakubaliwa kuweka flag, unaweza iweka hata on your personal car.
 
Hizo ni sheria za bongoslum. In Kenya bora unakubaliwa kuweka flag, unaweza iweka hata on your personal car.

Kwa Tanzania plate number ya gari ya balozi N 97 CD​

​

Special Number Plates​

Apart from the normal civilian number plates Kenya has a series of number plates considered special plates. These are to cover all other special categories such as identifying government vehicles, Parastatals, NGOs, and other special categories. They include but are not limited to


  1. The Kenyan Government uses GK;
  2. The Kenyan County Governments use CG, for example, Nairobi County vehicles are 47 CG;
  3. Governors use GVN followed by their county code;
  4. The Speaker of the National Assembly uses SNA;
  5. The Speaker of the Senate uses SS;
  6. The Chief Justice uses CJ;
  7. Kenya Army – KA;
  8. Kenya Air Force – KAF;
  9. Kenya Navy – KN;
  10. Kenya Agricultural Institute – KAI;
  11. Diplomats use N CD and they are red plates with white letters and numbers;
  12. Parastatals use blue plates with white letters and numbers
  13. Motorcycles now use the KMCA series;
  14. Heavy Machinery uses the “KHMA” series;
  15. Tricycle uses the KTWC series.
  16. NGO – KX;
  17. Vehicle Dealers Number plate series – KG and KD. The plates have a green background with white letters
 
Kwenye video yako YouTube. Kuna mtu kakutajia mitaa yote ya dar CBD. Refer huko.
Uelimishwe mara ngap
I'm talking to you now. Mbona swali rahisi linakushinda? Umekuwa wale wanafiki wanaoshindwa kujibu who is a woman?
 
Nimekuambia hizo ni sheria za kwenu huko bongoslum. Hizi si zikona flags but they have personal number plates.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…