Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

What's that 90% you said!?? Hueleweki kwa kweli, Dar iko unplanned lakini hakuna the residents called SLUMS.... hata uhangaike vipi Google huko utaishia kung'ang'aa sharubu tuu... Ila nenda Google search *Slums in the world" Nairobi imoo nenda "Slums in Africa" Nairobi imoo maliza kazi "Slums in Nairobi" ndo utaletewa Essay kabisaaaa

Halaf ndo nashindwa kuelewa hvii hawa wazungu wamekosa kabisa Data za "Dar's Slums" ama??

Uzuri ours unplanned areas ziko very guaranteed and so specific hakuna blah blah kiasi kwamba zikajumuishwa as Slums
 
You say primitive discussions and yet take time to go there, read the threads and then take screenshots for JF?
 
The thing called slums maana yake pameshindikana kabisaaaaaa..... hakuna huduma yoyotr iliyokua nzuri yaan
Starting from Sewage system + Health + Education + Security + Safe Water Services = ZERO
 
Ubaya sasa Diamond spent his cash in South Africa akaukuza Uchumi wa nchi nyingine badala angefanyia Tz. I hope you get my point.
Tatizo lenu ninyi wakenya hamtaki kutafuta information nje ya Kenya, uwezo wenu wa kuelewa mambo ni mdogo sana, huwa mnasoma blogs zenu na magazetu yenu ambayo mengi hayana taarifa zilizofanyiwa utafiti.

Zari anaishi South Africa akisimamia mali za Ivan, Diamond ukitoa nyumba aliyonunua huko South Afrika, maisha yake na vitega uchumi vyake vyote vipo Tanzania, anaenda huko South Afrika kwenda kuiona familia yake tu, sasa unaposema anafaidisha uchumi wa South Africa zaidi kuliko Tanzania umetumia vigezo gani kama sio taarifa zq udaku na wivu?
 


IMARA DAIMA-Nairobi













 


Daresalaam nayo looks slummy in its entirety.........there are clear aeriel views to show the whole world
 
hilo sio tatizo. Nugu.
Buy Kenya, Jenga Kenya
 
Ubaya sasa Diamond spent his cash in South Africa akaukuza Uchumi wa nchi nyingine badala angefanyia Tz. I hope you get my point.
point yako ipo sawa.
ila ni ngumu sana kumpangia mtu pesa yake namna ya kuispend.kumbuka diamond ana familia na makazi SA.

btw kwani hapo kenya hakuna wakenya wanaenda kuspend dubai,US or europe?.
 
You say primitive discussions and yet take time to go there, read the threads and then take screenshots for JF?
sometimes huwa nastaajabishwa na zile discussion zenyu vile mnavyotoleana mapovu.

so huwa napenda kuchukua screenshot ili niwaonyeshe watz wastaarabu wa JF waone ni jinsi gani wakenya mpo kwenye karne ya 16 kujadili ukabila.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hilo sio tatizo. Nugu.
Buy Kenya, Jenga Kenya
Karne hii iliyoanza, taifa lenye nguvu sio lenye jeshi kubwa, bali ni taifa lenye watu wenye information za uhakika, utajiri wa mtu hautopimwa kwa mali pekee, bali pia ni kwa upeo wake wa kujua mambo mengi ya dunia kwa undani.
 
Karne hii iliyoanza, taifa lenye nguvu sio lenye jeshi kubwa, bali ni taifa lenye watu wenye information za uhakika, utajiri wa mtu hautopimwa kwa mali pekee, bali pia ni kwa upeo wake wa kujua mambo mengi ya dunia kwa undani.
waandika mashairi ya nyimbo au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…