concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,466
Sometimes regulation zinasaidia , vitu unavyooana haviwezekani Leo bado vinawezekana.Changamoto ni uwepo wa kodi na regulatory fees nyingi zinazo-target mtu mmoja.
Issue unaweza kutoa hizo control namba na watu wakafunga biashara, ukabaki unadaiwa wewe, maana zitaonekana kwa CAG.
Pili, wabongo wataondoa tu hayo mabango kuliko kulipia.
Maana yake wewe ulikuwa unafanya kazi field mbali, na unatumia nguvu.Nimefanya KAZI hii sana nikiwa kama afisa mapato Tena kwa sehemu ambayo sikufikiria kabisa kama ningeweza fanikiwa ila nilipata bos mwelewa alikuwa ananiwezesha mpaka pesa ya watu wakunifanyia KAZI badala ya kutumia watendaji wa vijiji
Ofisi za mapato field wilayani. Ina lazima ofisi hizo zipewe posho, gari na mafuta kwasababu zinaenda field.Ukimbana letsay bos kama mkurugenzi kuwa kipimo chake ni mapato na ukawapa target lazima watajenga ukaribu na watu wamapato , hivyo lazima uwezeshwaji upo.
Huwezi kula pesa za POS lazima zipote kwenye MFUMO.Mfano tu mtu kama mchengerwa Kuna siku unashangaa simu hiyo anaulizia kwanini ya posi haijapelekwa benki.
Pitia halmashauri yoyote uijuayo uone watu wanavyoziogopa hela za pos sasa hivi na hata mapato yalivyoongezeka.
Huduma nzuri zinatokana na uwekezaji.Ni Bure sawa lakini Huwa kuna record zake, sasa hivi watu wengi wenye hela wanakimbilia private wakati walipaswa wavutiwe na huduma nzuri kwa hospitali za serikali.
Hilo ni sawa.Ukienda sehem kama dodoma rufaa na benjamini mkapa hospital, idadi ya wagonjwa wanaofuata huduma benjamini ni kubwa sana wakati dodoma rufaa inanafasi ya kujitanua na kuwabeba hao wagonjwa
Shida siyo kuziendesha.Zahanati ziko kwa mfumo huo lakini laiti tukizipa nafasi watu waziendeshe kwa ufanisi kuliko sasa hivi, Zina nafasi ya kuingiza kipato kikubwa sana.
Zahanati nyingi hasa za vijijini bado zinatumia vibuntu kukusanyia mapato , unafikiri tutapata hela hapo
Uhuru wa manyani ni kuwa ,ukiondoa ushuru wa mabango kesho Kila mtu atataka kuweka bango mwisho wa siku itakuwa ni takataka na mapato hayatapatikan kama ilivyokusudiwaSijajua unaposema uhuru wa manyani unamaanisha nini?
Ushuru wa mabango ni ngazi serikali za mitaa, kumbuka ukiondoa Kodi za tra , halmashauri inapata service levy na leseni ya biashara tuu.Maana kodi ndio DAMU ya serikali.
Anaweza akatumia hata mdomo kujitangaza , mabango mengine yanaweza kuwa kero kwa watu kwahiyo hapo anakuwa amelipia na gharama ya kero kwa majiraniNa ili mfanyabiashara alipe kodi, ni lazima na apate wateja, na ili apate wateja anatakiwa ajitangaze.
Hatapata wateja kama pale atakapokuwa ameweka bango.Sasa ukibana kila anapojitangaza maana yake gharama za kufanya biashara zinakuwa kubwa.
Hiyo biashara haitapiga hatua hata siku moja.
Au watu wataanza kufanya biashara za BLACK MARKET.
Hata kidogo ambacho serikali ingeweza kupata HAIPATI.
Lazima lengo liwe wazi.Uhuru wa manyani ni kuwa ,ukiondoa ushuru wa mabango kesho Kila mtu atataka kuweka bango mwisho wa siku itakuwa ni takataka na mapato hayatapatikan kama ilivyokusudiwa
👇👇Ushuru wa mabango ni ngazi serikali za mitaa, kumbuka ukiondoa Kodi za tra , halmashauri inapata service levy na leseni ya biashara tuu.
Leseni ni mara moja kwa mwaka
Service levy ni 0.3% ya mauzo .
Na kiuhalisia ni wachache sana wanaolipia hii Kodi ,
Kumbuka halmashauri ndo Kila kitu kwa ngazi ya wilaya. Na kiukweli halmashauri nyingi nje ya zile za mijini hazipati mapato kwenye biashara sanasana mazao. Hakuna effect yoyote kwenye ushukaji wa kipato bali ili tuongeze ni kupunguza gharama au kuwe na bei fixed kwa mwaka
Hiyo vita yote ya nini?Anaweza akatumia hata mdomo kujitangaza , mabango mengine yanaweza kuwa kero kwa watu kwahiyo hapo anakuwa amelipia na gharama ya kero kwa majirani
Asipopata wateja serikali inapata faida gani?Hatapata wateja kama pale atakapokuwa ameweka bango.
Mfano wewe unalodge yako usipoweka bango nani atajua tunauza vyumba , solution ni kuwepo na bei fixed kwenye mabango au ipunguzwe atleast 2000 kwa sq/ft
Kwenye issue ya mapato ukitaka kufail tumia watendaji , hutafanya maajabu yoyote , ila ukiwa na mgambo wako au kibarua anayelipwa kwa commisionMaana yake wewe ulikuwa unafanya kazi field mbali, na unatumia nguvu.
Katika ofisi ambazo ni ngumu kupata mafuta na usafiri ni pamoja na mapato kwa taasisi zote, usione watu wako mtaani , niliwahi koma miaka hiyo nafanya hiyo KAZI, hela rahisi kuipata ni ya kukaa ofisini kuandika vochaWatendaji wa vijiji lazima wawe diplomatic kwasababu wanaishi na hao watu.
Mkuuu Kuna sehemu Kuna Kodi zaid ya hizo ebu tuchambueOfisi za mapato field zipo. INa lazima ofisi hizo zilewe posho, gari na mafuta kwasababu zinaenda field.
Ila nakupa mfano.
Una biashara ya Nyama au Vipodozi👇
Leseni 150,000Halmashauri inataka:
- Leseni
Service levy halmashauri nyingi kwa maduka zimewekwa fixed amount ila ni 0.3% hii bado Iko chini sana hata vat ya tra kwa napojua wengi service levy wanalipa 20,000-200,000 kwa mwaka
- Service levy
Ushuru wa taka , mkuu ipi Bora kuja kukusanyiwa taka au uwe unazipelekwa jalalani mwenyewe , kumbuka ni marufuku kuchimba shimo la taka na miradi ya nyama inaongoza kuongeza uchafu mtaani
- Ushuru wa taka
Bango ni wewe tu ukiweka kubwa lenye mwanga lazima likutafune tumia leaflets 🤣🤣🤣🤣
- Ushuru wa bango.
- Kama unanunua mnyama unatembeza unapaswa kulipa kibali cha movement
- Ushuru wa machinjio
FIRE
- Wanataka fees ya ukaguzi na ununue fire equipments
TBS
- Wanataka usajili wa premises kwa 50,000 -100,000 kwa mwaka.
- Bodi ya nyama wanataka fees kwa mwaka
Hapa, kila taasisi inakuja kwa wakati wake, bila kujali jana kuna taasisi nyingine ilipita kwako.
Bado baba lao TRA.
Biashara haitaweza kukua hata siku moja. Na possibility ya kufa kama huho mtu analipa kila kitu ni rahisi sana.
Huwezi kula pesa za POS lazima zipote kwenye MFUMO.
Huduma nzuri zinatokana na uwekezaji.
Huduma afya za serikali hazisaidii Vituo kununua vifaa bora vingi, mpaka vipelekwe na serikali kuu.
Na pia huko private, watu wanaenda kulipa ila wakikosa pesa ndio wanaenda serikalini.
Hilo ni sawa.
Na kwakuwa Wizara ya afya ndio msimamizi, wanaweza kuboresha.
Ingawa Benjamin Mkapa inasimamiwa na Mkapa Foundation.
Shida siyo kuziendesha.
Shida ni HUDUMA za bure.
Hata ukimpa mtu mwingine, bila mapato hawezi kufanya maajabu.
Sorry sasa hivi Kila taasisi imepewa lengo la makusanyo kwa mwaka ndo shidaIssue siyo REGULATIONS.
Issue ni FEES zinazoambatana na REGULATIONS.
Kila taasisi ya serikali kwasasa inakusanya mapato.
Watendaji wana mambo mengi.Kwenye issue ya mapato ukitaka kufail tumia watendaji , hutafanya maajabu yoyote , ila ukiwa na mgambo wako au kibarua anayelipwa kwa commision
Sasa kama Wakurugenzi hawatoi pesa za mafuta kwaajili ya watu wa mapato, wanawekeza kwenye nini?Katika ofisi ambazo ni ngumu kupata mafuta na usafiri ni pamoja na mapato kwa taasisi zote, usione watu wako mtaani , niliwahi koma miaka hiyo nafanya hiyo KAZI, hela rahisi kuipata ni ya kukaa ofisini kuandika vocha
Wapi kuna kodi zaidi ya hizo?Mkuuu Kuna sehemu Kuna Kodi zaid ya hizo ebu tuchambue
Sawa.Leseni 150,000
Service levy halmashauri nyingi kwa maduka zimewekwa fixed amount ila ni 0.3% hii bado Iko chini sana hata vat ya tra kwa napojua wengi service levy wanalipa 20,000-200,000 kwa mwaka
Hapa nadhani unamaaisha Manispaa.Ushuru wa taka , mkuu ipi Bora kuja kukusanyiwa taka au uwe unazipelekwa jalalani mwenyewe , kumbuka ni marufuku kuchimba shimo la taka na miradi ya nyama inaongoza kuongeza uchafu mtaani
Ndio maana ya KODI na SERIKALI.Bango ni wewe tu ukiweka kubwa lenye mwanga lazima likutafune tumia leaflets 🤣🤣🤣🤣
Bango ukiamua hata 30,000 unalipa kwa mwaka
Mengine mkuu haya yanamsaaada mkubwa sana tu kwetu , mfano ukaguzi wa nyama, wakisema Kila mtu atafute mtaalamu wa nyama unadhani nani utamtoa ofisini kwa 20000
Chq maana labda ni kupunguza baadhi ya gharama ila kwenye issue ya chakula duniani kote sio mchezo .
Lengo siyo kushindana.Nenda tu hapo Beira omba kibali cha pharmacy uone shughuli yake
Na shida zaidi ni kuwa wanakusanya kutoka kwa MTU YULE YULE.Sorry sasa hivi Kila taasisi imepewa lengo la makusanyo kwa mwaka ndo shida
If it was designed well,Hii kampuni ya Kitanzania (Estim) ili sanifu vizuri hii barabara kwa kiwango cha kimataifa. Mfano ramps (viingilio vya barabara) zake zinampa dereva muda wa kupata mwendo kabla ya kuingia kwenye highway.
Ni tofauti na zile barabara za Kenya, ambapo ramp ni fupi, hivyo inaingia ghafla kwenye highway na kuweza sabsbisha ajali kutokea kirahisi.
NairobiWalker Teargas
Kwa hivo hizo ramps ni bora kuliko za Thika Road na Nairobi Expressway?Hii kampuni ya Kitanzania (Estim) ili sanifu vizuri hii barabara kwa kiwango cha kimataifa. Mfano ramps (viingilio vya barabara) zake zinampa dereva muda wa kupata mwendo kabla ya kuingia kwenye highway.
Ni tofauti na zile barabara za Kenya, ambapo ramp ni fupi, hivyo inaingia ghafla kwenye highway na kuweza sabsbisha ajali kutokea kirahisi.
NairobiWalker Teargas
Kumbe Kunyaland ndio first time as always mpo matakoniDrone Show in Kenya.
In Tanzania 2050
View attachment 3349615View attachment 3349616
View attachment 3349617View attachment 3349618
Halafu kajamaa kwa umbumbu wake, hakana hata aibu, kanakwambia Tz intafanya hivyo 2050. 🤣🤣🤣🤣 seems hata huu Uzi hakaufatilii kanakurupuka kuja kupost. Sisi Ndio tulianza.Kumbe Kunyaland ndio first time as always mpo matakoni
View attachment 3349723View attachment 3349724View attachment 3349725
Huyo mbilikiomo anaropokwa tu fwaaaaa.Wewe jibwa nani kakuambia BuruBuru Kuna apartments? Nenda kaumie hukooo Tandale
Hii barabara hata haina service lanes na uko hapa unaongelea ramps. Wewe una wazimu.Hii kampuni ya Kitanzania (Estim) ili sanifu vizuri hii barabara kwa kiwango cha kimataifa. Mfano ramps (viingilio vya barabara) zake zinampa dereva muda wa kupata mwendo kabla ya kuingia kwenye highway.
Ni tofauti na zile barabara za Kenya, ambapo ramp ni fupi, hivyo inaingia ghafla kwenye highway na kuweza sabsbisha ajali kutokea kirahisi.
NairobiWalker Teargas
The only thing this Kibaka Road inashindia Thika Road, Expressway, Outering, Southern bypass, Northern Bypass and Eastern Bypass are the number of bumps and zebra crossings. Barabara enyewe hata haina lights.Hii kampuni ya Kitanzania (Estim) ili sanifu vizuri hii barabara kwa kiwango cha kimataifa. Mfano ramps (viingilio vya barabara) zake zinampa dereva muda wa kupata mwendo kabla ya kuingia kwenye highway.
Ni tofauti na zile barabara za Kenya, ambapo ramp ni fupi, hivyo inaingia ghafla kwenye highway na kuweza sabsbisha ajali kutokea kirahisi.
NairobiWalker Teargas
Kumbe hii mkebe ilikwama tena jana na hawa wachawi wamenyamaza tu😂😂
View: https://x.com/KenyanSays/status/1927790632078123245
Nani aliwaambia mnunue second hand trains?
Nani aliwaambia mnunue second hand trains?