Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sawa.
 
60% ya biashara za Kenya Tz zimefutwa. 🀣🀣🀣. Wale wawekezaji uchwara wote wamaambiwa warudi kwao. 🀣🀣🀣 hii habari The best 007 utaipenda sana, it was just a matter of time. Tuliwaambia hawa mbwa hawatuwezi na wala hatuna haja ya uwekezaji wao. 🀣🀣🀣. Katika ile $1 billion waliowekeza, zinabaki ngapi vile.? πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸΎ
View: https://youtu.be/P7LWyvjMkZY?si=IWkh9ppLu1ByBysT.
 
Pitia hapo 0:54 umskie msukuma 🀣🀣🀣 kanyoosha ukweli, hatuna chochote cha kujifunza kutoka kenya. πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸΎ
View: https://youtu.be/Nv97ums8GOo?si=d_Da0TwLDWVk-obO.
Hicho ndio kinachowatafuna wakundustan saivi, unajua kwenye akili yao wanafikiri Tanzania tulikua tunawaadmire sana ndio maana hata huku kila siku utasikia eti tunawaiga, kumbe wakundustan tunawaona kama takataka tu toka zamani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…