ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,560
- 90,008
You have changed now from respect to love.So Thabo Mbeki visiting Morogoro is proof South Africans love Tanzania?
Leave alone politicians. I'm talking about the people on the street.
wanauza share yenu ndogo iliobakia maana nchi haina hata pesa ya kulipa mishahara ya waalimu 😂😂😂😂
ni watu waliofeli kimaisha mpaka kifikra na wana elimu mbovu sana sijawah onaHivi wakundustan kwanini wanaita secondary schools zao high school? 😂😂😂
kwani wana mji mwingine apart from Naislum?Tunajenga viwanja vikubwa Dom na Arusha, nyinyi viwanja vyenu jua kali vyote vipo naislum.
ni wa kupiga bomu waanze upya.
Wale wa Mwanza mpo? Arusha inahitaji SGR yake pia!
Indeed, they're discussing security.Tanzania ina discuss budget ya vyombo vya ulinzi na usalama of course you can't skip immigration and police regarding the latest incidence but tomorrow I can assure you without any official parliamentary schedule Kunyaland parliamentarians will start replying these 😂😂
Sawa, endelea kujidanganya.You have changed now from respect to love.
Bro Tanzania is more relevant to SA than kenya.
That's a truth and you can change it. History inatubeba.
Nyinyi miaka hiyo mlikuwa busy na building your economy mfanane na singapore, cha ajabu mko mnajilinganisha na Tz sasa nchi ambayo ilisemwa kwa kuhost criminals that were fighting for independence.
Kenya ni business tu ya kuwa puppets wa wazungu and European Company branches but no country respects kenya. History inawakataa. Labda fantancies na PR zenu mitandaoni mkijipiga vifua
Mpango wa mwanzo ulikuwa reli inagawanyika Keza, moja inakwenda Rwanda nyingine Burundi.Ikikufa baada ya sisi kuanza kufikiria ujenzi wa Burundi
Ila pale ilikuwa rahisi sana kwa nchi karibia zote tatu , basi tu na sisi hatukupiga hesabu vizuriMpango wa mwanzo ulikuwa reli inagawanyika Keza, moja inakwenda Rwanda nyingine Burundi.
Inaonekana baadae Kagame na Magu wakazinguana, maana zile bashasha na Kagame ziliisha ghafla. Kukawa na viugomvi fulani kama Rwanda kunyanyasa madereva wetu, na ugomvi na Nkurunzinza ukazidi. Ndiyo baadae tukaanza kuona hii ya kwenda Msongati ikianza kuongelewa.
Wale mliokuwa mnaiponda Mbeya mpo? Mwaka huu inapita Mwanza ,tuko hapa 👇 👇Wale wa Mwanza mpo? Arusha inahitaji SGR yake pia!
reli ya SGR kwenda Msongati kutokea Kigoma haikuwemo kipindi cha Magufuli! Magufuli alikuwa analazimishia reli kwenda Rwanda pasipokuwa na mzigo wa maana! Suala la Tabora-Uvinza-Kigoma na Uvinza-Msongati ni maamuzi baada ya JPM kufariki!Mpango wa mwanzo ulikuwa reli inagawanyika Keza, moja inakwenda Rwanda nyingine Burundi.
Inaonekana baadae Kagame na Magu wakazinguana, maana zile bashasha na Kagame ziliisha ghafla. Kukawa na viugomvi fulani kama Rwanda kunyanyasa madereva wetu, na ugomvi na Nkurunzinza ukazidi. Ndiyo baadae tukaanza kuona hii ya kwenda Msongati ikianza kuongelewa.
Nairobi Kuna slums. Unadhani sisi ni kama nyie who live in denial? The question is, are they 100 or 200? Choose one lie and stick with it🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo unakataa hakuna slums😝😝😝😝
Mipango ilianza kabla ya Magu kufariki.reli ya SGR kwenda Msongati kutokea Kigoma haikuwemo kipindi cha Magufuli! Magufuli alikuwa analazimishia reli kwenda Rwanda pasipokuwa na mzigo wa maana! Suala la Tabora-Uvinza-Kigoma na Uvinza-Msongati ni maamuzi baada ya JPM kufariki!