Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ikiwa uwanja wa Arusha utakamilika ukiwa hivi 👇🏾View attachment 3345028hakuna uwanja wowote wa kushindana huu Kunyarenda nzima. 🤣🤣🤣
We endelea kutetea capacity tu. 🤣🤣🤣 lakini beauty and modernity. Sahau my fool brother. 🤣🤣🤣
Ni nini cha ajabu hapa? As long as the stadium is 20k seater and has a running track then haifai hata kuongelelea where Talanta Stadium is being mentioned.
 
You've reminded me of the Pygmy Hippo pale Nairobi National Park. 🤣 🤣
pygmy-hippopotamus.jpg
Na Mbona wanafanana by the way?😂😂😂

IMG_0452.jpeg
 
Nina uhakika hujafika ground uone vile hizo stadium zinakaa
🤣🤣🤣 kwanini Unafanya guess work everyday.? Wewe mbona ni mpumbavu sana.?

Mara unawaambia watu mimi ni mfupi na haujawahi kuniona. 🤣🤣🤣 mara sijafika kwa viwanja za mpira.

Utaacha lini ku force mambo na kuongea uongo.?
 
Weka picha uliyopiga mwenyewe hapo Arusha stadium.🤣🤣
 
Ni nini cha ajabu hapa? As long as the stadium is 20k seater and has a running track then haifai hata kuongelelea where Talanta Stadium is being mentioned.
We hangaika na capacity 🤣🤣🤣 modernity na uzuri hilo suala sahau. 🤣🤣🤣 we piga kelele za ukubwa wa uwanja tu
 
We hangaika na capacity 🤣🤣🤣 modernity na uzuri hilo suala sahau. 🤣🤣🤣 we piga kelele za ukubwa wa uwanja tu
Modernity and runningtrack ni wapi na wapi? As long as iko na Running track then it’s not in the level of Talanta. Alafu stadium enyewe ni Pygmy tu Kama wewe.
 
Back
Top Bottom