Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dah sisteri kaongea ukweli mtupu.
Amezungumza ukweli sana.
Japo nikazie kwenye maendeleo ya wanawake,kinamama wa Tanzania wanasaidiwa na serikali kwa namna tofauti ikiwemo mikopo ya halmashauri isiyo na riba kwaajili ya maendeleo.
Pia kuna saccos,vicoba and so on.
Je Kenya imeandaa mpango gani wa kuinua wanamama!??
 
ila shida nyingine tulionayo sisi mikopo ile inatolewa kwa kujuana sio kwa kuangalia wahitaji na bahat mbaya wizara ile iko chini ya mkwe wa nchi so hata aharibu vp utamuona pale pale 😂😂😂
 
hebu kwanza tuoneshe hzo 30 blocks 😂😂 alaf zije 45 au waona watu wote ni wajinga kama nyie kazi kujisifia uongo tu
Rudi Yemen. Ebu hizi blocks na zisipokuwa over 30 unitag. Alafu mambo ya Asante kwa render iliishia wapi?😂😂

image_4.jpg
 
ila shida nyingine tulionayo sisi mikopo ile inatolewa kwa kujuana sio kwa kuangalia wahitaji na bahat mbaya wizara ile iko chini ya mkwe wa nchi so hata aharibu vp utamuona pale pale 😂😂😂
Sio sehemu zote wanatoa kwa kujuana kaka.
Kigamboni mbona tumebahatika mie nikiwa moja wapo wa mikopo ya vijana bila kujuana kaka!?
Kitu hakiwezi kuwa efficient mia kwa mia .
 
basi shukuru sana na ujione mwenye bahat kuna watu wanalia huu mwaka wa nne kwenye mikopo hio
Ni kweli usemalo lingine ni kuwa viongozi wenyewe wa halmashauri wanatafuna pesa pia.
Madhaifu yako mengi lakini angalau tuna try kuliko ukilinganisha na Kenya.
Leo hii tuulize kwa herufi kubwa,"KENYA KUNA MIKAKATI IPI YA KUWAINUA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU DHIDI YA UMASIKINI"?
Watujibu hapa sasa hivi.
 
sio tena 45 maana sioni ukitaja hio number tena 😂😂😂😂
Si ulisema tu kuonyesha 30?

Ama huyu sio wewe?😂😂😂👇👇👇😂😂

hebu kwanza tuoneshe hzo 30 blocks 😂😂

Alafu nimekuonyesha picha nusu, other 15 blocks ziko kwa side yenye camera man was standing. From this picture alone I can count 40 blocks.
 
Si ulisema tu kuonyesha 30?

Ama huyu sio wewe?😂😂😂👇👇👇😂😂

Alafu nimekuonyesha picha nusu, other 15 blocks ziko kwa side yenye camera man was standing. From this picture alone I can count 40 blocks.
ziko wapi hzo 45 au ziko juu ya hewa 😂😂

nchi nzima haina hata mradi wa maendeleo mumekaa kushangilia ujinga wa affordable housing
 
ziko wapi hzo 45 au ziko juu ya hewa 😂😂

nchi nzima haina hata mradi wa maendeleo mumekaa kushangilia ujinga wa affordable housing
Kuhesabu ndio shida kwako ama? The picture has covered only 40 blocks and 5 more are uncovered. Najua unaumia because you asked to be shown 30 blocks but instead I have shown you 40 blocks of 11 floors each😂😂😂
 
hzo 45 nimekuuliza ziko juu ya hewa ?😂😂
 
Back
Top Bottom