Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani wakati wanamshauri jinsi ya kuweza kutatua migogoro Ile bila kuingia gharama ya kulipa fidia kwanini hakusikiliza.
Terms walizomshauri kina lisu za kukaa pamoja na kubadilishia terms of ownership zisingefaaa. Haya acacia kaha madini yashaisha na fidia tutalipa? 🀣🀣🀣
Yamebaki mahandak
 
Hawa ndo wanakuambia awamu ya JK haikuwa na shida.
Unajiuliza hivi yule dokta wa msitu wa Pande ilikuwa awamu gani!
walikosa kabisa chochote kibaya kwa Magu wakawa wanaenda mortuary wananunua miili iliotelekezwa miaka mingi wanaifunga kwenye viroba wanaitelekeza public areas halafu wanakuja kuiripoti eti Magu anaua watu, wajifungia mahali wiki miezi wanasema wametekwa, zote hizo ni ili wamchafue Magu wale pesa za mabeberu upinzani wa kipumbavu kweli.
 
Aliomba msamaha baada ya kufanya blanda sio. Huko mbeleni baada ya miaka mingi hawa wanaowafanyia wenzao maovu wakija omba msamaha tuwasamehe tu wakati wanashauriwa ila wameziba masikio.
 
Wakundustan ninyi wapumbavu kweli, yaani hizo nyumba zote mnazojenga zote hazitakaa zifike idadi ya nyumba za wanajeshi Tanzania ilizojenga nchi nzima kila wilaya Tanzania hii, hizi nyumba zipo kila mahali Tanzania na hujawahi kuzisikia zikiongelewa popote

 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Hii ungewacha tu ibaki gallery.
Mukuru housing project:- Top 3 biggest in Africa
14,000 houses
50,000+ residents.
substation
Piped gas
Markets, hospitals, schools, Police stations, fires stations, tens of shops

Upon completion, this is a whole city, not a joke of what your posting.

Kwa hii picha I've not counted more than 100 houses πŸ˜‚πŸ˜‚

Do you have any estate with piped gas in the whole of bongoslum, leave alone public housing?
 
Hiyo 35M ukiwa na kiwanja nje ya mji si inatosha three bedroom kabisa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View: https://x.com/rickspatkeep/status/1924743317956227564?s=46
View: https://x.com/dickensis8001/status/1924753187107463445?s=46
 
Lissu ni mropokaji, Magu alikuwa sahihi.
 

A quick Google search shows China gave TPDF a $550million loan to build 12,000 houses.
Lol. That's not even Mukuru project numbers alone.
You're boasting about a decade-long nationwide project that has produced fewer numbers than one project in Nairobi.

Fomu sixi on full display again. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kenya has over 150,000 housing units from the affordable program alone, in various stages of construction. Many more in planning or in courts.
As long as the housing levy exists, the money is there to scale this up to at least 1 million completed or ongoing houses in the next 5 years.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…