concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,466
Hawez kukuelewa huyo mfuata upepoTanzania tulishakataa chanjo za mRNA za covid, kuna mpaka Dr mmoja aliongelea hili kwenye TBC, kuwa hazikufuata utaratibu. Sasa ghafla, kampeni ya kuzigawa kwa watu zikaanza, leo hii imeonekana wazi kuwa waliochanja wanapata matatizo ya moyo, wengine kansa. Ilikuwaje CCM ikubali hilo kwa wananchi wake? Ilikuwa ni kumfurahisha nani?
Sijaelewa topic hii imetokea wapi. Unaweza kuanzisha uzi, nitakuja kuchangia kwa kina na evidences.Tanzania tulishakataa chanjo za mRNA za covid, kuna mpaka Dr mmoja aliongelea hili kwenye TBC, kuwa hazikufuata utaratibu. Sasa ghafla, kampeni ya kuzigawa kwa watu zikaanza, leo hii imeoneka wazi kuwa waliochanja wanapata matatizo ya moyo, wengine kansa. Ilikuwaje CCM ikubali hilo kwa wananchi wake? Ilikuwa ni kumfurahisha nani?
Ona sasa mtu humjui unamwita dogo. Kwikwikwi.Haha kama vile umeverifu vile. Acha mahangaiko dogo
Huna uwezo mzee. Unajua maana Nacovta?Hawez kukuelewa huyo mfuata upepo
Sawa kaka, naona nimekuwa wakuja kwenye maongezi yenu.Sijaelewa topic hii imetokea wapi. Unaweza kuanzisha uzi, nitakuja kuchangia kwa kina na evidences.
Nipo na maelezo marefu sana. Kujadili issue hiyo kwenye thread hii tutakuwa hatuwatendei haki wengine wanaotaka kujua.
Anzisha uzi kisha niite
Umesema kuwa hamtaki kuvurugiwa amani ikawaje mkaenda kupokea dawa ambazo tayari huku nyuma mshashauriwa kuwa zitakuwa na madhara na mkaanza kuzisambaza na zimeanza kuleta madhara kwa binadamu , huoni kwamba hiyo ni kuvuruga amani kwa kuua watu wasio na hatia. Pathetic akili ndogo sana🤣🤣🤣🤣Sijaelewa topic hii imetokea wapi. Unaweza kuanzisha uzi, nitakuja kuchangia kwa kina na evidences.
Nipo na maelezo marefu sana. Kujadili issue hiyo kwenye thread hii tutakuwa hatuwatendei haki wengine wanaotaka kujua.
Anzisha uzi kisha niite
Ndo umefundishwa misamiati Leo?Huna uwezo mzee. Unajua maana Nacovta?
Haelewi buana muonee huruma tu mkuu. Anajua kuvuruga amani kutetea haki zako . Hawa watu wa ugali tuSawa kaka, naona nimekuwa wakuja kwenye maongezi yenu.
Unajua wakenya kwa sasa hawana cha kupoteza. Ogopa sana kukaa na mtu aliyekata tamaa na maisha. He/she can do anything.Sawa kaka, naona nimekuwa wakuja kwenye maonezi yenu.
Kama hujui miaka hiyo kulikuwa na nini basi kaa kimya.Ndo umefundishwa misamiati Leo?
🤣🤣🤣🤣🤩Huna Moja dogo uwezo wako mdogo tu wewe stick kwenye mapambio tuKama hujui miaka hiyo kulikuwa na nini basi kaa kimya.
Wewe huna point umeshindwa vitu vidogo tu. Makubwa utaweza?Umesema kuwa hamtaki kuvurugiwa amani ikawaje mkaenda kupokea dawa ambazo tayari huku nyuma mshashauriwa kuwa zitakuwa na madhara na mkaanza kuzisambaza na zimeanza kuleta madhara kwa binadamu , huoni kwamba hiyo ni kuvuruga amani kwa kuua watu wasio na hatia. Pathetic akili ndogo sana🤣🤣🤣🤣
Mimi babu yako. Shauri yako🤣🤣🤣🤣🤩Huna Moja dogo uwezo wako mdogo tu wewe stick kwenye mapambio tu
Sasa mtu mwenye fikra kama zako utasema unajitambua?Unajua wakenya kwa sasa hawana cha kupoteza. Ogopa sana kukaa na mtu aliyekata tamaa na maisha. He/she can do anything.
Just imagine wakenya wanenda Uganda kujiandikisha kupiga kura. Wanakuja kwa wingi Tanzania kufanya siasa. Halafu unaona kabisa kuwa ni coordinated agenda.
Baada ya kufanya tukio mitandao ya kijamii wanapiga kelele kila kona. Very stupid na unaona kabisa they are paid to do that. Wanalipia mitandao ya kijamii ili taarifa zitembee.
Ndio mbinu hiyo hiyo waliyoitumia wazungu zambia na kukiangusha chama tawala
Lini utaanza wewe kwanzaWewe huna point umeshindwa vitu vidogo tu. Makubwa utaweza?
Lini una verify account yako?
Wewe katoto tu huna uelewa wowoteMimi babu yako. Shauri yako
Alah!! Kumbe unanisubiri mimi. Kwikwikwikwi ona hili pungu one!!!!Lini utaanza wewe kwanza
Kama hujui Nacovta ni nini? Basi wewe ni kijana wa 1980s or 1990s or 2000sWewe katoto tu huna uelewa wowote
Haha ona hili duazaAlah!! Kumbe unanisubiri mimi. Kwikwikwikwi ona hili pungu one!!!!
Wewe ni furushi kwikwikwikwiHaha ona hili duaza