Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na tutawafinya majibwa hawa. 🀣🀣 Sie tushapanga kutocheka na kima.
Wanadhani Maria Sarungi yupo hapo kenya kwamba kaisaliti Tanzania 🀣 🀣 🀣 🀣 Security ni akili kubwa sana. Wanapeleka Taarifa zote kwa Maria Sarungi. Wakimuona anaitukana Tanzania nao wanakuja kichwa kichwa.

Stupid Kenyan Huyo mama hata kanyaga Tanzania tena na ukoo wake.
 
Imebidi nicheke kwanza 🀣🀣 the way he is talking as if Kenya ni peponi 🀣

Halafu hawa budget activists, sijui wanaluwa active kwa ajili ya nani,!!

Thryq
Approval alipewa kitambo, pengine wewe ndio ulizaliwa jana.
Then you will have the first president who will be banned from setting foot in Tanzania!! Hongereni!!
 
Kwa sababu Tanzania ni yako ama? 🀣 🀣 🀣
 
Haha atu zimejaa zebra crossing πŸ˜…
I see wanasema ziko quality sana!!!!
Bongoslum barabara kama zote ni za 50kph, intersections na zebra crossing zimejaa all along the way. Huko hakuna freeway kama Thika rd ama expressway. Sasa hata nashangaa huyo mbilikimo anasema tujifunze nini. 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…