concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,466
Ukito unabaki na chenji ya km 100 ambazo itawachukua Karne kufikishaSasa bwana nairobae chukua hizi changanya na 150km of Dodoma outer ring road and dom inner ring road.. hesabu inakuja hapa👇🏾
150km+ 33.6km=183.6 km. Hizi ni kando ya zile carriage ways zinazoenda IKULU na Airport. na zile sections za CBD. 🤣🤣
Haya mombasa itatia pua hapo.? 🤣🤣
Ukumbuke tu Dodoma ndio kwanzaa inaanza.. kwasababu ukiachanq na inner ring roads kuna mpango wa kuipiga njia sita ile barabara ya Dar-Dom kama 30 km hivi 😄 kwahiyo kama walikua wanafikiri labda watashindana nasi nadhani hilo swalisahau kwanza.Ukito unabaki na chenji ya km 100 ambazo itawachukua Karne kufikisha
Dual carriageway depends on needs.Which inner ring roads? BTW aside from Dodoma and Nairobi road in Arusha, which other road is a dual carriageway in Tanzania outside Dar?
Mbeya sahii wanajenga zakwao huko around 46 km. Huyu ngoja aje akupe alimu. ChoiceVariable hebu mueleze huyo kuhusu barabara za njia nne huko Mbeya.Dual carriageway ama dual carriageways?
Si hata Mbeya hapo kwenu ni Jiji?
Iringa road kupitia sgr ndo inafuataUkumbuke tu Dodoma ndio kwanzaa inaanza.. kwasababu ukiachachana na inner ring roads kuna mpunago wa kuiga njia sita ile barabara ya Dar-Dom kama 30 km hivi 😄 kwahiyo kama walikua wanafikiri labda watashindana nasi nadhani hilo swalisahau kwanza.
Actually ya mbeya ni kuanzia nsalaga mpaka tunduma km 100+Mbeya sahii wanajenga zakwao huko around 46 km. Huyu ngoja aje akupe alimu. ChoiceVariable hebu mueleze huyo kuhusu barabara za njia nne huko Mbeya.
For now, let's talk about dual carriageways, not reasons for them.Dual carriageway depends on needs.
You can't just out up an infrastructure for nothing.
Kwasasa inajengwa Mwanza, kwasababu there is reason for it
Weka picha tuzioneMbeya sahii wanajenga zakwao huko around 46 km. Huyu ngoja aje akupe alimu. ChoiceVariable hebu mueleze huyo kuhusu barabara za njia nne huko Mbeya.
Sasa mna 11.7B nasi 12B na unatuita ovyo? Kichwa chako Kiko sawa?
Ujinga gani? Yaani hawa ng'ombe waje kusikilikiza kesi kwenye mahakam zetu ili iweje? Acha hizo bhanaUjinga wa Samia!
Actually ya mbeya ni kuanzia nsalaga mpaka tunduma km 100+
Sio 46km ni 100+ km.. nimeweka records vizuri. Ili kama unaumia basi uugulie polepole.. barabara zinajengwa sahii. Hii ni progress ya 22km four lanes road.. from Msalaga to Ifisi Mbeya 👇🏾Weka picha tuzione
Karne wakati in this year tunamalixa 153km dual carriageway (Nairobi - Marua) na tunaanza 220km of another dual carriageway (Nairobi - Nakuru - Mau Summit) meanwhile, 480km of dual carriageway ya Mombasa - Nairobi ipo mipangoni kuanza next year. Sisi ndio wakuambia 100km of dual carriageway ni miujiza? Labda kwenu ila sio kwetu. 😂😂😂Ukito unabaki na chenji ya km 100 ambazo itawachukua Karne kufikisha
Sasa 22km imekuwa 100km? Halafu mbona wananchi wanalia ni kama stalled project?🤣Sio 46km ni 100+ km.. nimeweka records vizuri. Ili kama unaumia basi uugulie polepole.. barabara zinajengwa sahii. Hii ni progress ya 22km four lanes road.. from Msalaga to Ifisi Mbeya 👇🏾
View: https://youtu.be/397ue_Xylu8?si=920zTsuKKLgaZdou.
Hizo barabara unataja hapo juu ni za mombasa kumbe.? 🤣🤣Karne wakati in this year tunamalixa 153km dual carriageway (Nairobi - Marua) na tunaanza 220km of another dual carriageway (Nairobi - Nakuru - Mau Summit) meanwhile, 480km of dual carriageway ya Mombasa - Nairobi ipo mipangoni kuanza next year. Sisi ndio wakuambia 100km of dual carriageway ni miujiza? Labda kwenu ila sio kwetu. 😂😂😂
Nani Kasema ni za Mombasa?Hizo barabara unataja hapo juu ni za mombasa kumbe.? 🤣🤣
The design is to build it up 100+ from mbeya to Tunduma, hiki ni kipande cha town Na ni 29km sio 22kmSasa 22km imekuwa 100km?🤣
Siwezi ugua juu ya 100km dogo wakati Kenya in the next 4 years tunaongeza at least 700km za dual carriageway za uhakika na hapo sijaongeza project ndogo ndogo za KURA, KeRRA na County. Sasa 100km ndio Nini? Nakukosoa tu uache kudanganya maanake ninavyoelewa project nzima ni 100km ila kipande chenye ni dual carriageway ni 22km pekee. Kama unabisha prove me wrong. Same way Ile Barabara ya Mombasa to Malindi project yote ni 116km but kipande kilicho dual carriageway ni 41km pekee. Labda wewe mwenyewe hata huelewi project ilivyo ndio maana unapiga kelele kiujingaujinga.The design is to build it up 100+, hiki ni kipande cha town Na ni 29km sio 22km
View: https://youtu.be/vQaTuWfLkvo?si=2-KKv3_UvRviRepp. 🤣🤣 we ugulia tu polepole
Kwahiyo marua na Nairobi ziko Mombasa🤣🤣🤣🤣Karne wakati in this year tunamalixa 153km dual carriageway (Nairobi - Marua) na tunaanza 220km of another dual carriageway (Nairobi - Nakuru - Mau Summit) meanwhile, 480km of dual carriageway ya Mombasa - Nairobi ipo mipangoni kuanza next year. Sisi ndio wakuambia 100km of dual carriageway ni miujiza? Labda kwenu ila sio kwetu. 😂😂😂
Hapa tupo dual za Mombasa versus Dom basiNani Kasema ni za Mombasa?
Kisumu, na Nakuru ni cities?Si hata Mbeya hapo kwenu ni Jiji?