ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,483
- 89,908
How do you see things?Is this how you see things?
Mbona viti rangi za yanga?Jana ulikimbia umekuja tena leo 🤣🤣🤣🤣 mbona unachamganya picha.? Hii ni picha ya jana nimepost mimi ambao ndio current state of the field. 👇🏾View attachment 3336079naone umei download umeileta tena na viambatanisho vya picha za last month.? 🤣🤣🤣 nyingine hii 👇🏾View attachment 3336080View attachment 3336081kama unaumia njoo uuchimbue chimbue uwanja.
Acheni siasa, hao watu aliwachagua yeye?? Kila kitu kilikuwa wazi. Tatizo wengi wetu ujuaji mwingi sana. Program hata kuanza haijaanza watu mapovu yanawatoka!!Ila amezingua sana kwenye BBT, hasa kwenye aina ya watu aliowapeleka.
Wanasema eti ni bendera ya taifa. 😆. Sijui ni nani alipendekeza hizo rangi.Mbona viti rangi za yanga?
"Madini ni maisha" sasa serikali inashindwa nini kununua ndege yake ya kufanya uchunguzi mpaka waende Hispania?
Unatukanaaaa.Acheni siasa, hao watu aliwachagua yeye?? Kila kitu kilikuwa wazi. Tatizo wengi wetu ujuaji mwingi sana. Program hata kuanza haijaanza watu mapovu yanawatoka!!
Shame!!
sanctions!Kwa nini Bashe asizuie kabisa hizi mbegu za kisasa?
Hii hybridization wanafanya kwa kutumia grafting ili wapate mbegu au inakuwaje?Siyo GMO.
Ni Hybrid zinatengenezwa hapa hapa.
Hapo ndo uanaume unapohitajika.sanctions!
Maono ya Magu yanaishi, yaani fikira, kwa shinikizo la nje Mkapa aliruhusu uchimbaji kwa mrahaba wa 3% tuu, huku BOT wakikatazwa kuwa na akiba. Aisee, hawa watu kweli walituokota sisi waafrika.
Sijajui wanafanyaje.Hii hybridization wanafanya kwa kutumia grafting ili wapate mbegu au inakuwaje?
Unajua kazi ya recreational parks kweli? Unataka wafanye kazi kwa park?hawa ndio tunaambiwa hardworking😂😂
View attachment 3336261
Leo tena sio 6M😂😂🤣😂2.6 International visitors ,5.3 international & domestic visitors 🔥🔥👇👇
View: https://x.com/TanzaniaInvest/status/1922504731944964397?t=zawrqBbHK9ZfTFT-bIv51w&s=19
Kama hamlets bado mko 50% connectivity then household connectivity must be between 30-40%.
Maana ya Aviation passengers ndio hujui? When we talk about aviation passengers we mean the total number of all air passengers that passed through Tanzanian airports no matter the airline name. Also don’t forget thatATCL only transports 850K passengers in a year.Kwahiyo siku zote nyie wakenya shirika lenu la ndege lilikua linacheza tu. 🤣🤣🤣 shirika la ndege la TZ linamiliki ndege 15 na zimekamilika kufikia idadi hii last year na operations za hizi ndege zilianza zikiwa mbele 2017 yaani ni kipindi cha miaka 7 hadi leo tangu tulipolifufua shirika, while in the other hand KQ iko na ndenge 30 na zote zinafanya safari zake half a century now ila performance yake ni abiria 12 millio pessengers. 🤣🤣🤣🤣 na hii namba ni kwasabu ya uchache wa ndege za TZ. Hauoni kama hapo nyie ndie losers.? 🤣🤣 anytime soon mnapoteza hiyo tittle.