huyo manager kiingereza kingii ila anahusika!Wakenya walikuja Kuleta Uhujumu Tabora, kwenye Tumbaku.
Wanaenda kula mvua Jela
View: https://youtu.be/hw3lNyR545s?si=pwZSkFzpiKJ8gL8v
Ndio kawaleta na anawatumia kupiga deal la Kangomba.huyo manager kiingereza kingii ila anahusika!
Dah hilo jamaa bwabwa kabisa😆😆😆😆😆😆😆😆😆🤣🤣🤣 jamani si mmeliona wenyewe hili pumbavu.? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kaka wasikuumize kichwa.Elimu ilitakiwa iwasaidie kunyanyuka na tulitegemea mngeondokana na njaa na nyumba za tembe kabisa lakini usomi wenu ni WA kuongea na kulaumu na kutafuta visingizo na kujua kutukana🤣🤣🤣.
Mtu aliyeelimika hukwepa migogoro na kutumia njia ya upole kufanikisha mambo yake.
Ni kama Chinese to USA .usa anabwatuka ila wenzie kimya mwisho wa siku 🤣🤣🤣🤣
Kenyan hamjaelimika , mmesoma kwa kukariri ila hiyo elimu hamna tukianzia na humu .
Unaweza soma mpak PhD ila ukawa huhaelemika?
Don't Quote for us wemdawazimu!! Grow up!!
I will quote anyone na hakuna kitu utafanya.Don't Quote for us wemdawazimu!! Grow up!!
Vertical slums!! You built such tall structures but you don't improve the roads, the sewage.....what would you call that!? Only one thing SLUM!!
Hawana huo mpango.Kaka wasikuumize kichwa.
Tuje mfano mdogo sana,kuhusu balaa njaa Kenya walikua Wana uwezo wa kuanzisha intensive irrigation farming huku wakijikita kuzalisha surplus crops za kutosha na kutengeneza maghala ya serikali kila mkoa ili kuhifadhi chakula kitakachoweza kusaidia hata itapotokea ukame.
Misri ilianzisha kilimo cha JANGWANI achana na nusu jangwa kama Kenya yani ni JANGWANI kabisa Misri walianzisha kilimo na wana maghala toshelezi ilisaidia kupunguza food importation.
Kenya inajinasibu kuwa na uchumi mkubwa mbona haijafanikisha hilo!??
Na hiyo ni akili ndogo sana kaka wala sio kubwa.
Huo usomi wao nini umewasaidia!??
Ishu ya pili ni kuanguka sana kwa majengo,unajiuliza hawa jamaa wahandisi wao huwa wanasoma nini chuoni!?
Mbona haipiti miezi miwili majengo yanaanguka!??
Mkenya sawa na MBWA KOKO ubwekaji mwingi kuuma hawezi.
We have to understand Mama Samia is a Zanzibari and a loyal Muslim . She will always be bound by religious convictions hence the Arabs get prioritized in projects development.You guys are just projecting your worries and fears to us. 😄 Sisi Hatuwezi wasaidia.
View: https://x.com/Dc_wa_twiter/status/1917113605490905504?t=VQa9hm-P0ZFS3xipKWZo8A&s=19
You even failed to understand that CartoonWe have to understand Mama Samia is a Zanzibari and a loyal Muslim . She will always be bound by religious convictions hence the Arabs get prioritized in projects development.
Hapa ndio wanalalilia ichezwe finals za AFCON. 🤣🤣🤣 CAF hawawezi kubali tupate aibu kama East Africa.