Kwa kuwa middle Income nyie mkiwa LDC wenye wivu.Wakenya mshobokewe na watz kwa kipi!!!!!
Uhuru karuhusu free pass.umeona mtz yeyote akishangilia hilo????
Karibu mzee annal, mnatepeta sana humu!Wakenya bado mnakomaa tu. Leo nataka niwatwange mpaka mpotee humu.
Tuwawekee pazia mfe njaa!!!!hatunaga husda za kichawi namna hiyo.Mlima ni wa LDC lakini Middle Income inatengeza pesa. Ni shamba la bibi literally Labda muweke pazia.
Nadhani umekosa sasa point. Hapa ni battle Dar vs Nairobi. Au unataka 1academ vs MimiKaribu mzee annal, mnatepeta sana humu!
View attachment 660509
Hivi unajua kuna ombaomba wanakuzidi kipato buda???Kwa kuwa middle Income nyie mkiwa LDC wenye wivu.
Watzee wamejaa Kenya na vijibakuli Omba Omba tuuu yani huko kwenu masikini hadi mna-export beggers.
Kabla ya kuweka hizo soksi humu tunataka utuletee majina ya viwanda hivyo. Mimi nijuavyo ukipeleka china chochote kile wanakutengenezea. Na isitoshe kuweka maandishi kwenye sweta ni rahisi mmno vijana mtaani wanafanya hivyo kwa Tsh 1000.Worldwide Scramble for Brand Kenya!
Limited Edition Kenya Nike Air Zoom Pegasus 31 Running Shoes
http://burnsshoes.blogspot.co.ke/2012/02/entry-51-zoom-air-kenya-miler.html
Men's Kenya Shoes & Sneakers
Hajui wenzie ndio wako wakibadili id humu.
Acha kulia lia ww,kiamsha kinywa hapo dar is slum!Hajui wenzie ndio wako wakibadili id humu.
Naona umeshindwa kwenda na mada. Usituharibie thread. Kama unahasira zako tuliza kwanza kisha uje baadaeAcha kulia lia ww,kiamsha kinywa hapo dar is slum!View attachment 660518
Not the Official Arsenal F.C Account
kenya kupokea watalii 700k wakat LDC inapokea watalii over 2millionπππππππMlima ni wa LDC lakini Middle Income inatengeza pesa. Ni shamba la bibi literally Labda muweke pazia.
T-shirt zote za Jubilee na materials mengine yote ya uchaguzi yametoka China na nchi zingine, hadi karatasi za kupigia kura zimetoka nje ya nchiKabla ya kuweka hizo soksi humu tunataka utuletee majina ya viwanda hivyo. Mimi nijuavyo ukipeleka china chochote kile wanakutengenezea. Na isitoshe kuweka maandishi kwenye sweta ni rahisi mmno vijana mtaani wanafanya hivyo kwa Tsh 1000.
Hivi unajua kuna ombaomba wanakuzidi kipato buda???
Mlima ni wenu na tutazidi kuvuna mapato miaka na mikaka na hakuna likubwa unaweza Fanya about it Labda pazia. Hapo ni shamba la bibi.kenya kupokea watalii 700k wakat LDC inapokea watalii over 2millionπππππππ
na mwaka huu serengeti imezidiwa yani watlii ni wengi kuliko maelezoπ
na malengo ya tanzania kufkia mwaka 2025 itapokea watalii million 8 na sasa tumeanza kutangaza utalii wa southern circuit
Tukikwambia tunakulisha unarusha mateke[emoji2] [emoji2]Mlima ni wenu na tutazidi kuvuna mapato miaka na mikaka na hakuna likubwa unaweza Fanya about it Labda pazia. Hapo ni shamba la bibi.
Mapato gani mnayopata zaidi ya kula kwa macho?, ni kama kumuangalia mke wa mwenzako ukawa unamtamani kwa mbali, Tanzania inapata mara nne zaidi ya Kenya katika utalii. Mapato yanayotokana na mlima Kilimanjaro pekee, ni sawa na mapato yote ya utalii wa Kenya kwa mwaka.Mlima ni wenu na tutazidi kuvuna mapato miaka na mikaka na hakuna likubwa unaweza Fanya about it Labda pazia. Hapo ni shamba la bibi.
ππππππππMlima ni wa LDC lakini Middle Income inatengeza pesa. Ni shamba la bibi literally Labda muweke pazia.